Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Mtoa mada uliwahi kuambiwa na nani au kusoma wapi kuwa ELIMU ni chanzo cha UTAJIRI,,?
Utajiri ni nidhamu ya matumizi katika kikubwa unachopata.
Elimu inakupa maarifa ya namna ya kupambana na mazingira ya maisha,wengi wa wasomi hula kabisa wanachozalisha kwa kutegemea vichwa vyao na uzima wa viungo vyao.
Masikini wa elimu hutegemea kila wanachokipata kukihifadhi na kukiendwleza vyema.
Pia biashara za kukutana na watu wa kipato cha chini ndizo zenye ela nyingi kwakuwa kundi hilo ni kubwa,wakati wasomi wanataka kukaa kwenye ofisi na kutaja vitu kama software nakadhalika.
Bakhresa anauza mikate,Mohamed anauza maji ya 500,wakati profesa anataka kuiuzia maneno serikali moja tu,na wako maprof. Wangapi.
 
Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi?

Kwa mfano mabas yote ya mwanza bukoba ni yao ukitoa machache ya warabu

Mabasi yote ya mwanza mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo

Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa mwanza kuna mzee shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee

Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano makoye hospital wakati hata shule hajaenda

Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo,
John bina, ncheye, king msukuma, midimu, luhuye, batco, super samy, super shemu, katagi expres, masaba, njiwa pori,ndege sera bila kumusahau bwana mdogo frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale sinza kwa remy kalibu na mori ndo hawo hawo kumbi hizo zinaitwa kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado kariako nako wamejaa

Swali wanapataje pesa hizo?
Wakati msomi yuko shule wengine wako mtaani wanatafuta pesa.

Wakati msomi akipata elfu kumi anakula elfu nane.na asiyesoma akipata elfu kumi hiyo hiyo atakula 1500.

Wakati msomi anaenda kukagua shamba la matikiti akiwa kavaa mokasini anaonyesha kwa kidole na kumuamulu mfanyakazi,ambae hana shule yumo shambani mwenyewe tena peku peku anapiga kazi

Majibu ni rahisi sana juu ya ulichosema hapa mtoa mada
 
Mtu hapati pesa kwa sababu amesoma ila kwasababu amefanya kazi!!! Kusoma kunakupa muongozo tu na kukufanya uweze ajiriwa!! Ata ambae hajasoma akifanya kazi kwa bidii ya akili na nguvu anatajirika saana!!!
Hamna hela kwenye kuajiriwa!!!
Una akili sana wewe dada
 
Labda hela ya ndagu utajuaje?
Waulize wakwambie
Pia usisahau kanda ya ziwa hela yao nyingi inatokana na vyanzo vikuu viwili au vitatu hivi

Kwanza ni mawe yaani madini haswa geita nyamongo na maeneo mengine
Pili ni lasilimali za ziwa kama samaki na yatokanayo
Tatu biashara za magendo mpakani na uharamu wa biashara za milungi mali asili za mbuga za wanyama kam serengeti
Mwisho kabisa ni ujanja wa kuziona fulsa na kuzitumia kwa ufanisi
Wote hao uliowataja lazima kuna moja kati ya hizo njia wamezitumia kufika hapo walipo chunguza utanambia
 
Shuleni ulifundishwa ubinafsi, wakati wa mtihani unaambiwa ficha kazi yako ulipotoka na namba moja yako kufika kitaa ukaamini ukitaka kufanikiwa ufanye mambo kibinafsi.. wao walikuwa wanashirikiana, kuoneshana majibu hata kama walikuwa wa mwisho walirudi kitaa wakaendeleza ule ushirikiano..wakaweza kutusua.. Pili ukisoma sana ukisikia fursa yoyote unaanza kufanya analysis nyingi uchwara kichwani hatimae unaona vikwazo zaidi ya ile fursa, unaacha.. wenzio hawana hizo analysis.. akiona fursa anaingia tu hivyo hivyo.. na dili moja likitiki ndo keshachomoka na kukuachia manyoya.. Imagine mtu katoka darasa la saba akaingia kitaa akaanza na biashara hata kama ni ndogo ndogo.. wewe umeendelea hadi masters, ukiingia kitaa yeye keshakuwa na PHD ya ujanja wa mjini.. wewe unarudi na viingereza vingi ila hela huna...Ukioneshwa biashara ya kufanya unasema mimi na elimu yangu siwezi kufanya kitu kama hicho..mwenzio anaingia bila kujiuliza na akifanikiwa ndo umeachiwa manyoya hivy..
 
Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi?

Kwa mfano mabas yote ya mwanza bukoba ni yao ukitoa machache ya warabu

Mabasi yote ya mwanza mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo

Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa mwanza kuna mzee shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee

Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano makoye hospital wakati hata shule hajaenda

Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo,
John bina, ncheye, king msukuma, midimu, luhuye, batco, super samy, super shemu, katagi expres, masaba, njiwa pori,ndege sera bila kumusahau bwana mdogo frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale sinza kwa remy kalibu na mori ndo hawo hawo kumbi hizo zinaitwa kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado kariako nako wamejaa

Swali wanapataje pesa hizo?
Alafu kusoma hakuna pesa mwenye pesa co wasomi wew unasubr mshahara yeye kila siku pesa inaingia
 
Shuleni ulifundishwa ubinafsi, wakati wa mtihani unaambiwa ficha kazi yako ulipotoka na namba moja yako kufika kitaa ukaamini ukitaka kufanikiwa ufanye mambo kibinafsi.. wao walikuwa wanashirikiana, kuoneshana majibu hata kama walikuwa wa mwisho walirudi kitaa wakaendeleza ule ushirikiano..wakaweza kutusua.. Pili ukisoma sana ukisikia fursa yoyote unaanza kufanya analysis nyingi uchwara kichwani hatimae unaona vikwazo zaidi ya ile fursa, unaacha.. wenzio hawana hizo analysis.. akiona fursa anaingia tu hivyo hivyo.. na dili moja likitiki ndo keshachomoka na kukuachia manyoya.. Imagine mtu katoka darasa la saba akaingia kitaa akaanza na biashara hata kama ni ndogo ndogo.. wewe umeendelea hadi masters, ukiingia kitaa yeye keshakuwa na PHD ya ujanja wa mjini.. wewe unarudi na viingereza vingi ila hela huna...Ukioneshwa biashara ya kufanya unasema mimi na elimu yangu siwezi kufanya kitu kama hicho..mwenzio anaingia bila kujiuliza na akifanikiwa ndo umeachiwa manyoya hivy..
Ukweli unauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee shinyanga katoka kijijini kwetu mwamitumai wilaya ya maswa simiyu
 
fanya mchakato hela zao uzimiliki wewe

ѕítαkí ujíngα mm
 
Back
Top Bottom