FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,823
- 46,943
Msijifariji, nendeni shule
Maana nae pia hajasoma alhaji Daudi BashiteHata bwana bashite, bado ni utata mpaka sasa amepataje mafanikio kwa muda mfupi namna hii.
Billgates alishaona hakuna jpya kwake huko shuleni akaamuwa kuingia mtaani, wewe endelea kukariri mivyeti kama Bashite, elimu ipo upstairs na siyo kwenye mikaratasi.Msijifariji, nendeni shule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata bwana bashite, bado ni utata mpaka sasa amepataje mafanikio kwa muda mfupi namna hii.
Umesahau watu wengi waliofanikiwa sana na kua matajiri wameanzia chini sana,,hii ni kwa ulimwengun kote,,na ni watu ambao hawana sana vyeti vingi,,,
Hawa wamefanikiwa kwa sababu wamejitambua na kuipata barabara elimu ya msingi wa maisha ambayo haipatikan shule...
Na mwisho usisahau kuna wanaomiliki utajiri na kuna waliofanikiwa maisha,usiwachanganye hawa maana ni watu wawili tofauti kbsa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]-Wasomi wengi waoga,wao wanaamini Mivyeti na PHD ndio maisha,wanaishia kujenga nyumba na kumiliki gari na milioni 5 bank tu basi.
-Oneni BASHITE ndani ya mda mfupi anajenga ghorofa 5 Mwanza.
-Wengi wanapata pesa kwa ujanja ujanja aka ushanta mfano King Msukuma utajri wake ulitokana na Utapeli wa Madini.
-Top 5 ya matajiri wa bongo utajiri wao umetokana na kuidhulumu serikali na wizi eg Wengi wamedhulumu viwanda vya serikali,Mashamba ya Mkonge,Kuiba Nyara za serikali meno ya tembo,Kupewa tenda za kuprint nyaraka za serikali kiujanja ujanja,Kuyafirisi Ma-Bank na mashirika ya umma.....
Wanafanikiwa sio kwamba hawafanikiwi kabisa kwa mfano anaweza kuambulia nyumba moja au mbili na gari 4 ambazo huenda na mkopo ukachangia lakini hawezi kuwa na mafanikio makubwa sana.Kuna Article Moja hivi yenye maneno almost 1500, Yenye Title Ni kwa nini Watu waliofanya Vizuri Darasani hawafanikiwi katika maisha? >>>>Bofya hapa<<< kuisoma utapata jibu la swali lako Mkuu
Nmebakiza levo mbili niwe topWewe unapenda uwe wapi kati ya hao wawili
Ukiwa darasani ukakosea umekwisha...lakini mtaani ukikosea ni sehemu ya kujifunza na unasonga mbeleWasomi ni waoga kutake risk....wasiosoma wanatake risk sana