Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Dah sio siri na ndo kabila lililoweza kukomaa na kuweza kujenga mji wao km mwanza bila kuuza maneo na kuhama polin km watan zangu wazaramo!! Wasukuma oyeeeeee
 
Sasa wanachipuka matajiri wacheza ngoma za asili .katika sukumaland yote. Kama akina inaga, ngelela, lung'wecha, madebe na wengineo hawa wote wana mamia na maelfu ya ng'ombe
 
Dah sio siri na ndo kabila lililoweza kukomaa na kuweza kujenga mji wao km mwanza bila kuuza maneo na kuhama polin km watan zangu wazaramo!! Wasukuma oyeeeeee
Mkuu acha uongo wakurya wengi na wajaruo ndio wafanyabiashara wakubwa Mwanza na wengi wao ni wafugani pamoja na wavuvi kama lakairo
 
Akili zao waliwekeza katika kutafuta pesa na sio umbea
 
Sio kweli wakurya wengi ni machinga mwanza ambao unawakuta jua kali kabeba vibanio na sokisi mkonon

Kwa upande wa matajili wakurya mwanza ni wachache sana ambao hawawezi kufikia hata robo ya matajili wa kisukuma, taja wakurya matajili zaidi ya hawa wafuatao,
Zakaria, kitana, gachuma na kitana
Mkuu wapo wengi sana hata wasukuma hawazidi watano lakini wafanyabiashara wakubwa wakurya wapo wengi sana kama wakina gibore gweso, mmliki wa mabasi ya j4, mmiliki ya mabasi jm express
 
Mbona unataja watu wenye pesa ya supu hapo akuna mwenye pesa za kuuliza anapata wapi pesa hizo ni pesa za kawaida sana
 
Muumba amewajaalia wale ambao hawajasoma pesa alafu akajaalia wengine wasome ili wawe wafanyakazi wa hao wenye pesa...
Lakin si % yote...
YOTE MAISHA.
 
Nyie mliosoma akili zenu zinalenga kuajiriwa sisi tusiosoma tunachofikiria kuwa na uwezo wa kuajiri watu wanaojiita wasomi at ending the day wasomi mnajikuta mnaangukia mikononi mwetu

nakupa na mshahara wa 800000-1000000 kwa mwezi mimacho inakutoka wakati usomi wako unaniingizia 15000000+ kwa huo mwezi m1

Dhana ya kusoma ili uajiriwe ndo kiki ya wasiosoma kuwa matajiri coz wanafikiri deep sana kuongeza kipato wakati wasomi mnatarget viyoyozi na free Wi-Fi kwenye maofisi ya watu ati nimebukua sana sasa wakati wa kula raha ndo huu
 
Jaman kwani kusoma sana ndo kua na hela? Utajiri na kusoma ni vitu tofaut
 
Ndugu hao matajiri wote wa Mwanza uliowataja ni watu wa Ndagu hujawahi kufikiria, ingawa sio rahis kukubali. Uliza wanaomfahamu Zuberi kwa ukaribu, kwenye vogue nyuma huwa anatembea na nini. Huyo Msukuma, ukikutana nae ka mwendawazimu hivi, Njiwa pori anayoyafanya huko ziwan ni ya kusikia mbali, Zakaria mwenyewe uliz wanaomfahamu. Midimu ndo usitie kidole, ana Chatu mkubwa hujawah kufikiri. Hao jamaa ni kwa uchache tu
 
Back
Top Bottom