Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

ahahha huon nimempa kudos !yeye mumewe huwa anamuandaa kisaikolojia toka akiwa ofisini huko ! wengine sasa ni amerud na misigara yake na mipombe yake paap anakupekenyua mapajan !arghhhhhhh
Hahahaha tatzo ndugu unalaana ya kaka baraka..! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shughuli zote ziwe za kutafuta pesa ziwe za kujamiiana zinafanyika mchana ucku ni mda wa kupumzka na kutafakri yote ya mchana. Ndo maana wife wangu ni mama wa nymbni
 
Mbona km mnazingua.....ingekuw enzi za alkaida ningelipua jf hakyanan
 
Hahahaha tatzo ndugu unalaana ya kaka baraka..! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hhaha laana tena? haya we!

ahaaaa !dah BARAKA alinilaani walah tena !popote alipo jaman namsalimia tu !
 
yaan demi hakuna kitu ambacho sikipend niamshwe usiku jaman ukiuliza sababu eti dudu !dah nakereka jaman kwanza naanzaga siku yangu hovyo kweli kweli ! mtu umechoka unakuja nianza papasana usku? saa9? inahu! mshindwe
Tena washindwe nawatokomee, tabia mbaya kweli kweli. Kuharibiana afya tu.
 
Alafu nimeimiss, nilimwambia demi akipata zile kashata anistue sijui hajapata!!!

Hivi mama haujui kuwa usingizi ni afya!!!

hahahahahaha !ni kweli ni afya !afu sijui kwann ukiamsha mida hyo usingiz hauji tena !ukiamshwa saa 8 mie huwa hauji tena had saa 11 muda wangu wa kuamka !thts y nasema huwa naanza siku vibaya !unashinda job unasinzia tu argh
 
Nao wamezidi khaaah! Huo usiku wa manane hamu zinatoka wapi wakati ndio wasaa wa usingizi mubashara.
 
Utakuwa umeongelea unaokumbana nao na si kila mwanamke duniani.
 
Hii kitu na mimi inanikera sana, ujue raha sana upo na mtoto siku analikurupua mechi inaanza yaani inakuwaga raha sana
Ni wanaume wachache sana wanaokubali kuamshwa na ke wale vitu!
Mara nyingi hudai wamechoka sana waachwe wapumzike!

Yaani unakuta umewaka kinoma umejiandaaa
Jamaa hataki kuguswa amechoka!
Hata ukimwambie niachie mie ntajipakulia mwenyewe wewe lala, hakubali anakwambia wewe msumbufu sana,hebu lala!

Muwe manakubali basi ke tukitaka,sio kila siku mechi zenu tuuu khaaa[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Mkuu mwanaume wa hivyo mkimbie tu.. Njoo kwangu..! Yaani mie ndo ntakuwa nakuamsha kila baada ya masaa mawili..! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu mwanaume wa hivyo mkimbie tu.. Njoo kwangu..! Yaani mie ndo ntakuwa nakuamsha kila baada ya masaa mawili..! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha!

Unasema tuu!

Men wengi hawaguswi kama hawana hamu!
Ke wengi ni wahanga wa matamanio ya wanaume na sio yao Abadan!
Kwanza wakiona unaomba omba inaonekana ulikuwa Malaya!

Hizi data A kweli tupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom