Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,446
Reaction score
11,504
Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji.

Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa, maana Jana Mengele ameongea kumshambulia polepole, kwanini Wana CCM kila anaekosoa mabaya ya serikali na kukemea utekaji anakua adui Yao?

Watu wakimtukana Kwa muonekano wa rangi Yake asilalamike anaonewa.
 
Kwani hizi ng'ombe Gwajima na Polepole kipindi cha mwendazake walikuwa wapi?, wasilete unafki wa kisasa since wao ni wana CCM na wao ni virus tu, wasione bimother wao hawapi posho wakajifanya masihi
 
Chuki ya uislam dhidi ya ukristo.Gwajima angekuwa muislam usingesikia wanafungua midomo yao.
 
Manara ni attention seeker
 
Hivi hapa Haji kamshambulia au kukumbusha alicho wahi kusema Gwajima? Au mimi ndio sijaelewa?
 
Kwani hizi ng'ombe Gwajima na Polepole kipindi cha mwendazake walikuwa wapi?, wasilete unafki wa kisasa since wao ni wana CCM na wao ni virus tu, wasione bimother wao hawapi posho wakajifanya masihi
At least una point hawa wengine naona wana leta cheap points.
 
Gwajima ni mashine nyingine ngoja tusbiri Nani atanyosha mikono
 
Kwani hizi ng'ombe Gwajima na Polepole kipindi cha mwendazake walikuwa wapi?, wasilete unafki wa kisasa since wao ni wana CCM na wao ni virus tu, wasione bimother wao hawapi posho wakajifanya masihi
Kwahiyo kwasababu hawakusema wakati ule, hata sasa hawatakiwi kusema? No wonder tunashabikia watu kuumizwa na matendo ya serikali kwasababu tu hayatuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…