Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,569
Sijawahi mpenda X, sijawahi mchukia X. Anakuwaga mtu flani hivi ninayemfahamu. Hana impact yoyote, neutral, naweza zungumza nae kama ninavyozungumza na binadamu yoyote tuliyewahi fahamiana huko nyuma.
Feelings ni kama ile ya mwalimu wangu wa shule ya msingi, yaani hana impact sasa ila alishapita kwe maisha yangu akanichapa, akanifundisha, akanilea n. K ila kwa sasa ni binadamu tu ninayemfahamu.
Feelings ni kama ile ya mwalimu wangu wa shule ya msingi, yaani hana impact sasa ila alishapita kwe maisha yangu akanichapa, akanifundisha, akanilea n. K ila kwa sasa ni binadamu tu ninayemfahamu.