Kwanini Ex wako awe kama adui?

Kwanini Ex wako awe kama adui?

kwa upande wangu Ex wang ambaye ni first lover hanipendi sijui kwanini.... na aliniacha kisa ufukara. ... baada ya miaka 7 nilimuona alikuwa home tu na ninapofanya kazi kulikuwa na nafasi ya moto imetoka tu kutangazwa nikamtafuta hadi nikampata siku ya kwanza nilimsoma na kujua kama atafit but sikumuambia kuhusu nafasi ya kazi....

baada ya siku 2 nikamfuata kwaajili ya kumwambia aje job kuna nafasi, just imagine nilimuandalia maandalizi wala asingefanya interview, asingefanya kazi kubwa pia, maana angekuwa karibu namimi, ujuzi mwingine nilidangamya anao kwa kujua ningemtrain taratibu ila sasa alinijoboa mbele za watu na kufanya kama hanijui nilishangaa ila nilimsikitikia sana kwakuwa wala sikuwa na nia ya kumtaka kimapenzi ila ni vile tu ananafasi ya upendeleo ndani ya moyo wangu.....
Dah pole sana mkuu [emoji23][emoji23]
 
Hatuwezi kulala kitanda kimoja kumbe mwenzangu ana michepuko huko.
Kila siku tunadanganyana kupendana kumbe ni uongo.. then tuachane utegemee nikuombee mema.. never
 
Kuna siku moja katika pitapita za mitandaoni nkakutana na interview moja Diamond Platnumz sikumbuki alikuwa anahojiwa na mtangazaji gani ila alikuwa akiulizwa maswali kadhaa kuhusu ngoma zake Niache na Sikomi

Diamond anasema alipata idea ya kuandika ile ngoma (Niache) baada, ya kuumuliza rich mavoko kama inatokea umeachana na mpenzi wako inawezakana ukamwombea mema? majibu ya rich yalikuwa ni Hapana ,

Ndipo bwana mkubwa alipopata idea ya ile ngoma iliyojaa maneno ya chuki,laana na dua mbaya kwa mpenzi wake. akimaanisha sio kila mpenzi unaeachana nae utamwombea kheri.

Tuachane na hayo Diamond ni msanii

Lakini kwanini iwe hivi, kwanini katika jamii ijengeke dhana hii mara nyingi (si wote) ,tunaweza tukawa tunacheka nao usoni salamu,mawasiliano ya hapa na pale ila moyoni bado tuna chuki nao

Kwanini iwe hivi lakini?

Binafsi im still keeping my ex pictures , i want to show my kids how SATAN look like[emoji57][emoji57][emoji28][emoji28][emoji28]
Mi niko tofauti,siwezi kumuombea mabaya mtu ambaye tume have a good time pamoja ...haijalishi tumeachanaje
 
Back
Top Bottom