Kwanini Ex wako awe kama adui?

SumadaVinci

Senior Member
Dec 27, 2018
161
328
Kuna siku moja katika pitapita za mitandaoni nkakutana na interview moja Diamond Platnumz sikumbuki alikuwa anahojiwa na mtangazaji gani ila alikuwa akiulizwa maswali kadhaa kuhusu ngoma zake Niache na Sikomi

Diamond anasema alipata idea ya kuandika ile ngoma (Niache) baada, ya kuumuliza rich mavoko kama inatokea umeachana na mpenzi wako inawezakana ukamwombea mema? majibu ya rich yalikuwa ni Hapana ,

Ndipo bwana mkubwa alipopata idea ya ile ngoma iliyojaa maneno ya chuki,laana na dua mbaya kwa mpenzi wake. akimaanisha sio kila mpenzi unaeachana nae utamwombea kheri.

Tuachane na hayo Diamond ni msanii

Lakini kwanini iwe hivi, kwanini katika jamii ijengeke dhana hii mara nyingi (si wote) ,tunaweza tukawa tunacheka nao usoni salamu,mawasiliano ya hapa na pale ila moyoni bado tuna chuki nao

Kwanini iwe hivi lakini?

Binafsi im still keeping my ex pictures , i want to show my kids how SATAN look like😏😏😅😅😅
 
images (3).jpeg
 
Kwa sababu tangu niachane naye anazidi kua mzuri tu. Manina sijui nilikosea wapi mimi!!? Na muda huo nakongoroka nakua na kitambi kina single pack kama Harmonize.

No seriously, wengi hua tunatamani tukiachana na mtu basi yamkumbe mabaya, na hii ni dunia nzima. Ni wachache wanaweza kuachana na mtu na bado wakamsemea mema.
 
Inategemeana na mliachana ktk hali gani.
Ikiwa Amani Furaha Lazima Kutakiana Heri
Mfano Labda Mligombana Dharau Kebehi
Ujanjaujanja Mfano Wengine Waliambiwa Nina Mimba Ila Unakuta Baba Wa Mimba Mko 5

Changamoto Kubwa Sana Mnaweza Kuwa Wengi Kwa Mwanamke Mmoja Hamfahamiani
 
Kabla sijasoma ulichokiandika.

Nataka nikwambie siku nikikutana na ex wang,kulaleki zake lazima nimpasue.

Kaniibia kitanda changu na redio ambazo nilizinunua kupitia mshahara wangu wa kwanza.

Binti mpapai kama unasoma ujumbe huu naomba urudishe kitanda changu kwa amani.

By mpalinga from UGIMBI
 
inategemea uhusiano uliishaje, wako waliokimbia vifo. mimi naona ikiwa uhusiano uliisha kwa sababu za kawaida kusiwe na uadui lakini pia yasiwepo mazoea, haswa upande wa mwanamke.
Mara nyingi uadui unaanza pale Ex wako anapoanza mahusiano mapy hii ni kwa wale walioachana kwa sababu za kawaida.
 
sahihi
Kwa sababu tangu niachane naye anazidi kua mzuri tu. Manina sijui nilikosea wapi mimi!!? Na muda huo nakongoroka nakua na kitambi kina single pack kama Harmonize.

No seriously, wengi hua tunatamani tukiachana na mtu basi yamkumbe mabaya, na hii ni dunia nzima. Ni wachache wanaweza kuachana na mtu na bado wakamsemea mema.
 
Inategemea uhusiano uliishaje, wako waliokimbia vifo. mimi naona ikiwa uhusiano uliisha kwa sababu za kawaida kusiwe na uadui lakini pia yasiwepo mazoea, haswa upande wa mwanamke.
Hamna cha haswa upande wa mwanamke maana Ile kitu si inahusisha mwanamke na mwanaume au
 
Eti nije kumuonyesha ex wangu watoto wangu aisehhhh wewe utakua hujakua,
 
Hivyo ndio inatakiwa mtu mshaachana mazoea yanini?matokeo ndo unakuta mke wa mtu analiwa kisa mtu alikuwa x wake mi mke Wangu nishamwambia mazoea na mtu alomvua chupi sitaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom