Jela alitoka liniAlikuwaga teja, mpiga debe na kibaka wa kuwachomolea watu fedha ile aende chimbo akapone akakamatwaga akafungwa .
Akajatoka jela akabadilika kawa kama alivyo
Aisee…penyewe alitajwa kibahati mbaya tuu…lakin watu wame spot…tuishie hapa…files zikishushwa hapa tutafika mpaka kule kwenye utani wa jadi…nchi ngumu hii…Billnass kafanyje??
Huyo ponjoro ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa, so atakuwa wa mazoezi tuBafo ya gwajiboy ni ya president sio huyo ponjoro
Yeah ni kweli mkuu, lakini sio Kwa gwaji boyhawezi..ingawa nae sio mwepesi kama wanavyo mchukulia…
Yap jamaa alikuwa teja hasa wale mateja wapiga debe wa enzi hizo kinondoni .Duh! Kwahiyo anavyosema waliwahi kumpiga mpaka na nyanya sokoni kumbe ilikua ni kweli?
Sifahamu ndio maana nauliza nduguKwa kuonga.Hivi umetokea mwamtumbo nini
Sasa hivi ana hela sio?Dotto magari ni wale vibaka maarufu wenye magenge ila kuna kuacha
Dah siķuwahi kujua kama lilikuwa jizi andamiziKuwa na pesa sio tatizo ni kuheshimu watu na kuwa mtu wa kujua siri zako
Kulinganisha levels za watu Kuna levels zake piaKwani mafufu na wengine kama
Abbas walifikaje mbona kama akili zako ni K-vant
Unamuonaje?Vp alikuwa jizi huyu
Anamuogopa kwa sababu alishapigwabiti kuwa siku akiongea juu ya Gwajima basi ndiyo siku yake ya mwisho kuishi duniani.Siku dotto magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu kinondoni,madawa,utapeli utajulikana.
Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy