dotto magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

    Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama. Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ujumbe wangu kwa Dotto Magari.

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Pole Sana Dotto Magari: Nikupe Moyo haya majaribu unayopitia utayavuka salama Mdogo wangu

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  4. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

    Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi. Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa kwa afisa yeyote wa serikali usipokuwa tajiri basi rudi kwa Dotto Magari mkafanye udalali

    Leo umenigusa sana britanicca uchungu wa hii nchi. Nikaona na mimi nikupe nacho kiona kanda ya ziwa. Kuwa tajiri kanda ya ziwa ni kugusa tena ukiwa kama polisi, idara ya madini, ardhi na wengine ambao wanahusika. Jambo ulilo lisema mpaka watu wanaweka airport zao wakisafirisha ni kwamba pesa...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Maudhui mfano za dotto magari kwa huko mbeleni serikali mtaanza kubebembeleza wazazi wapeleke watoto wao mashuleni

    Dotto magari ni sumu ambayo imeshawaingia wazazi na vijana ambao nao mbeleni kwa hali iliyopo sasa ya ziaka kuwa wasomi hawana mafanikio ni hatari. Hatari ni kama wasomi wanamaliza ni wengi hupatikanaji wa ajira ni mgumu,wakupendeleana na wa kujuwaana. Hatari hii sasa wazazi wengi na vijana...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

    “Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?" "Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo...
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mliokaribu na Dotto magari mwambie namuita Katoro hapa

    Huyo dotto magari na yule mshamba wenu wa singapore waambieni nawaita hapa katoro
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari amzidi wafuasi John Heche mara mbili, Dotto ana wafuasi 1.2 instagram, Heche laki tano tu, je wanachama 13 milioni wa chadema wako wapi?

    Sensa fupi ya mtandao wa Heche inaonyesha hali hii. Heche angegombea leo angeishia kura laki tank, bora amekimbia
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sielewi wanachokifanya Dotto Magari na boss wake Issa Tambuu mtandaoni

    Kuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mkojani na Dotto magari hawakupaswa kupewa fomu

    Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 'Dotto Magari' ajitosa ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM

    Mfanyabiashara wa magari maarufu Dotto Magari amechukua fomu y kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia chama cha mapinduzi CCM. kupitia ukurasa wake wa instagram Dotto amethibitisha akichuka fomu nakuandika maneno haya "ni muda wa kumsaidia mama kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni"
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dotto Magari anamuogopa Askofu Gwajima

    Siku Dotto Magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu Kinondoni, dawa, utapeli utajulikana. Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sishauri Dotto Magari kupewa jukumu la kuwajibu Gen Z Wakenya kwa niaba ya Tanzania

    Nimemsikia mbunge mmoja mwanamke wa vitu maalumu akiwaonya Wakenya dhidi ya kejeli na matusi yao kwa mamlaka za Tanzania akiwapa tahadhari kama wanajua matusi sana basi tutawapa Dotto Magari wapambane naye! Niwaambie tu wabunge wasithubutu kufanya hivyo, tutaaibikia zaidi. Mfumo tu wa maisha...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bunge kumtuma Doto magari kuwajibu wakenya?

    Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe. hivi hawa wabunge zimo kweli. Kwa nini: mada hii imetaka kubadilishwa na kuwa kama vpn mods. Kwani tuna tunga hapa
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni kujidhalilisha kwa vitu vidogo vidogo

    Nilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka, nikafanya utafiti wa tofauti ya kutoa pesa kwenye ATM na kwa wakala ni how much nikaona tofauti ni...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

    Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?
  20. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Elimu iheshimiwe kwa manufaa yake

    Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote. Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma. Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida. Najiuliza wakienda Hospitali hao...
Back
Top Bottom