Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

Kuna kipindi kimoja Cha couple hookups kipo DSTV kunaitwa 90 Days Fiance ndo utachoka.

Kuna jamaa anaitwa Michael wa Nigeria Ana mwanamke anaitwa Angela it was pure madness.

I think Angela was 69 mpaka vows alikuwa hataki kufatisha kinachosemwa.
Ana miaka 55
 
Child support ndo inakuaje mkuu...
Gusa unase, katika kitu ni hatari kwa mzungu ni umzalishe raia wao....mwanamke akikufanyia visa akataka muachane jua ngoma ya child support utaicheza mpaka unaondoka duniani au unapakimbia kwa mzungu
 
Si kweli, ubaguzi wa rangi wategemea na mtu na mtu.

Wazungu wengi bado wanawapenda sana waafrika.

Kuna kale kamsemo kao "go black never go back".
Wewe ni walee waafrica wakifika kwa wazungu wanajipendekeza hadi keroo yaan..huwa mnanikera sana na wajinga wenzako miwapo abroad..
Ukwel ni kwamba hakuna mzungu anapenda rangi nyeusi..ni wabaguzi kupindukia..na sio wazungu tu..wachina wahindi..pumbavuu kabisaa hawaaa..mtu mweusi yuko peke yake dunia nzimaa..lazima tujipende kwanza sisi..waafrica wakifika kule yaan wanaona kuwa karbu na wazungu ni bingo hata wa huku ni hvyo hvyoo..mzungu akiwa bongo mijitu mieusii inaona fahari kutembea nayo mitaani..shenzi kabisaa watu wa aina hiii..
 
Si kweli, ubaguzi wa rangi wategemea na mtu na mtu.

Wazungu wengi bado wanawapenda sana waafrika.

Kuna kale kamsemo kao "go black never go back".

Sio kweli, Mi naona waarabu ndio wana mapenzi na watu weusi kuliko wazungu, wahindi na wayahudi.
 
 
Unaposema wengi, ni wangapi unaowafahamu ambao wamekufanya u generalize ?
 
Ukute wanawake wa kule ni vimeo zaidi yetu sisi.

Sasa hawa kaka zetu wanaona hapana, vichwa vibovu hivi havifai.

Rudini nyumbani bana Bora sisi mizimwi muijuayo
Wanawake wa kule wanajitambua sana brother.

Tatizo ni ndugu zetu. Wanawake wa kule wanapenda mtu ambaye atawapa ulinzi financially.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…