Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,286
- 37,007
Hii comment ni ya hadhi ya five star ⭐ hotel.Hasira pia inahusishwa na akili nyingi.
Watu wenye akili kubwa wanakuwa na hasira sana kwa sababu wanaona ujinga mwingi.
Wewe mjingamjinga huwezi kuwa na hasira sana kwa sababu huna akili ya kuona ujinga mwingi unaokuzunguka.
Ukiona unazungukwa na matatizo mengi halafu huna hasira ujue una akili ndogo.
Pengine hata hujui kuwa unazungukwa na matatizo mengi, kwa sababu una akili ndogo.
Kaka kiranga usichoke ku brush Hawa watu by the way umewazidi in all sphere of life..