The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
Hivi kumbe alishahojiwa huyo dereva?.....alihojiwa lini na nan alimuhoji......wakat anahojiwa alikuw sane au insane?......kukoswakoswa na risasi sio kitu kdg, je wakat anahojiwa alikuw kashasettle down?...km kashahojiwa mnamtafta wa nn tena wakat mnasema alijikanyaga kweny maelezo yake?.......na ili tuseme mtu kajikanyaga kweny maelezo yake tuwe na reference, je mlitumia maelezo ya nan mwngne km reference mpk mseme kajikanyaga?....ahahahaaa.....muhudum niongezee moja barid hapo tafadhali