Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

I smell a rotten rat. Naona kuna watu hadi mishipa imewatoka.

Hivi dereva kuitwa kwa ajili ya kutoa maelezo kuna shida gani? Au mlitaka nani atoe maelezo kuwapa wapelelezi mwanga?

Hilo la kumpeleka Nairobi linazua maswali mengi yasiyo na majibu ya kueleweka. Chadema wanataka(na sisi wote tunataka) tujue nani anahusika, lakini hawataki dereva wao ahojiwe, eti anaenda kuwekwa sawa lisaikolojia. Thinking aloud[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Low level thinking..... Dereva ndiye aliyezuia investigation kufanyika? Inakuwa ngumu kwa mchawi aliyepewa mtoto amtunze kafa mikononi mwake, anahaha kutafuta visingizio. Mtu akiuawa na mtu asiyejulikana...kawaida polisi watachukua simu yake watizame Nani alikuwa anawasiliana nae, wakikuta meseji za vitisho, kutoka kwa X, na jamii ikathibitisha X alikuwa akimtishia marehemu kumshughulikia ...Polisi lazima wamkate X kama suspect. Maadui wa Lissu ambao kila kukicha walikuwa wanamwambia publicly watamshughulia wapo wazi na kila mtu anawajua. Trying to think otherwise is supreme degree of ignorance. Tatizo ni mchawi anatakiwa atoe maelezo kwanini mtoto aliyekabidhiwa amekufa. Ni kazi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni watu makini sana, hawawezi kumficha dereva kwa namna yoyote kwa jinsi wanavyojua sana, mimi huwa nawaita watu wa data, Mara zote husimama katika bila utafiti hakuna usemi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijabadili hoja,umenielewesha ulitaka niseme hapana.Umeniambia alama hiyo lakini bado sura zao hazifanani.Unataka nifanyeje??
Sura hazifanani sababu kuu mbili;

1. Tukio la kwanza lilikua la huzuni na la simanzi, tukio la pili yuko relaxed na comfortable

2. Angle zilizopigwa picha ni tofouti
 
Sura hazifanani sababu kuu mbili;

1. Tulia la kwanza lilikua la huzuni na la simanzi, tukio la pili yuko relaxed na comfortable

2. Angle zilizopigwa picha ni tofouti

Ok.
 
Yaani nguvu mnayotumia wazee wa Lumumba kujisafisha mngaitumia kwenye kununua vyerehani lengo la Tanzania ya viwonder lingekuwa limetimia hakika. Acheni kutapatapa ngoma bado mbichi msiyempenda atarudi tu na kueleza yote. Get well soon TL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.

Unapofanya propaganda basi jitahidi kufikirisha na ubongo wako, badala yake badala ya kuchamba ili kijisafisha ukawa ndio unazidi kujipakaza kinyesi mwlilini! Kama idara inategemea watu wa akili kama yako, nafikiri kuna haja ya kufanya reshuffle kubwa haswa!

1. Ni police wa wapi wanaoweza kusema, suspect namba moja ni dereva na sio wale waliorusha risasi? Eti maelezo ya dereva yanatia shaka, kwani yeye ndiye aliyefyatua risasi?
Huwezi kufanya spinning, na matokeo yake unaacha ukakasi usio na sababu!

2. Bora ukae kimya, at least ungeeleza polisi wako ulioongea nao wanasema gari lililolalamikiwa ni la nani! Polisi wako wange kuambia, kwakuwa eneo lile linalindwa, jamaa waliwezaje kufanya lile tukio na kuondoka bila intervention ya walinzi wa pale!
 
Tuliambiwa dereva ameathirika kisaikolojia lakini leo tunaona picha akifurahi na kutoa maelezo kwa lowassa na Mbowe
 
Unapofanya propaganda basi jitahidi kufikirisha na ubongo wako, badala yake badala ya kuchamba ili kijisafisha ukawa ndio unazidi kujipakaza kinyesi mwlilini! Kama idara inategemea watu wa akili kama yako, nafikiri kuna haja ya kufanya reshuffle kubwa haswa!

1. Ni police wa wapi wanaoweza kusema, suspect namba moja ni dereva na sio wale waliorusha risasi? Eti maelezo ya dereva yanatia shaka, kwani yeye ndiye aliyefyatua risasi?
Huwezi kufanya spinning, na matokeo yake unaacha ukakasi usio na sababu!

2. Bora ukae kimya, at least ungeeleza polisi wako ulioongea nao wanasema gari lililolalamikiwa ni la nani! Polisi wako wange kuambia, kwakuwa eneo lile linalindwa, jamaa waliwezaje kufanya lile tukio na kuondoka bila intervention ya walinzi wa pale!
Osama alivyokuwa prime suspect kwenye shambulio la 9/11 ilikuwaje?kwa ni yeye ndiye aliyeendesha ndege?
 
Osama alivyokuwa prime suspect kwenye shambulio la 9/11 ilikuwaje?kwa ni yeye ndiye aliyeendesha ndege?

Sema utakavyo, ila jaribuni kuumiza akili maana anadhani anaweka sawa kumbe ndio anabomoa! Kama akili zimechoka aombe kustahafu
 
ni kweli mkuu aiwezekani risasi zaidi ya ishirini ata ya kumparaza amna???na kwanini aende kufichwa NAIROBI ingali hakuumia wala kupata mkwaruzo wowote?? kuna jambo lipo nyuma ya hii issue ya ajitoke popote alipo atueleze bayana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa kuwa gari lile dereva nimtaalamu wa kazi ya udereva anazo siri nyingi huenda kaenda kuziandaa vema ili mheshimiwa atakapopata ahueni aweze kuziweka vizuri.Tundu Lissu anatarudi nchi itatikisika
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Mnahaha kupotosha watu angetaka kumuua siangemmalizia tu kwani siwalikuwa wawili mbona alimsaidia lisu kuokoa maisha yake ivinyie watu walumumba mbona huwa hamfikirii mnapotaka kufanya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom