Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

MTU kauliza swali tu..
Lkn cha kustaajabisha mamtu washaanza kutoa POVU..labda niwasaidie Mimi kumjibu huyo mleta mada hilo swali.
DEREVA AMEKIMBIZWA NAIROBI FASTA ILI AKAPANGILIWE STATEMENT JINSI YA KUONGEA NA KUJIBU MASWALI ATAKAYOHOJIWA NA JESHI LA POLISI...SIKU ZOTE KWENYE TUKIO AU AJALI YA BARABARANI IKITOKEA MTU WAKWANZA KUCHUKULIWA MAELEZO NI DEREVA..kama nimekosea kujibu naomba mnirekebishe..
NATAMANI NIMJIBU KUA NI MGONJWA LKN KAMA NAE NI MGONJWA ANGEONGOZANA NA MWENZAKE WKT AKISAFIRISHWA!!!!!

Sent from Calculator Phone vesion007
Umeambiwa kwamba kwanini polis hawakumkamata siku ileile kama walikuwa na nia ya kufanya utafiti wa mapema msijitekenye wenyewe [HASHTAG]#shubamiti[/HASHTAG]
 
Kwakua chadema wana utu na roho za huruma, unakumbuka ile ajali ya ndege yule waziri na rubani wake kule mbea? Waziri a/kusini rubani muhimbili,Ndio maana Mungu aliamua kumchukua aliepelekwa nje akamwacha wa muhimbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kesi imeripotiwa na nani polisi? Kwa sababu polisi hawajui hata jina la huyu dereva. Kwa mujibu wa mkuu wa polisi wa Dodoma dereva anaetafutwa anaitwa Adam. Mbowe kataja dereva wa jina jingine kabisa.
What the hell is going on here?
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​


Sent using Jamii Forums mobile app

Ili wasipishane maelezo na Lissu.
 
Halafu ni upumbavu kumtetea Mbowe. Kesi kubwa kama hii mpaka leo waliokuwepo kwenye tukio hawajatoa statement wala hakuna shahidi wa kueleweka. Sasa itakuwa solved vipi?
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​


Sent using Jamii Forums mobile app

Jiulize kwanza Nani katoa Maelezo ya awali ya gari nyeupe kuhusika na kuanza kutafutwa hilo gari ? Ukipata ndio anza kuuliza hili la pili
 
Kimsingi kinachoendelea hapa ni uchunguzi usifanyike. Dunia ielewe Lissu kapigwa risasi kwa misimamo yake ya kutetea haki. Magufuli aonekane dikteta.
 
Jiulize kwanza Nani katoa Maelezo ya awali ya gari nyeupe kuhusika na kuanza kutafutwa hilo gari ? Ukipata ndio anza kuuliza hili la pili

Ni magazeti kwa sababu kama hii habari iliripotiwa polisi wasingeshindwa kujua jina la dereva wa Lissu.
 
Huu uraisi utatufikisha pabaya. Hii yote ni kwa sababu ya 2020.
 
Unamuuliza nani sasa?
Nenda Kenya kamuulize mwenyewe au tafuta namba ya simu ya Mbowe umpigie umuulize ilo swali, sie wengine hata hatujui.
 
Mbona naanza kupata wasiwasi na hawa viongozi wa chadema

binafsi sijaona sababu ya huyu dereva kwenda kule

/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
 
Back
Top Bottom