Hata Magufuli alikunya wakati anakufa ?Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Kwasababu mavi Ndo mpango mzimaNangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
Every action =reaction.. roho unapotoka kwenda juu basi na vingne lazima vitoke kwenda chin.. hahahaKishindo cha uhai kutoka husababisha haja kutoka
Katika uislamu tunafundishwa kuwa kuna maumivu mtu anapata wakati roho inatoka. na haya tunapata wote iwe kwa mtu mwema au mtu mwenye dhambi. Na hayo maumivu huwa yanazidi au kupungua kutokana na wingi wa madhambi aliyo nayo mtu.
Na kwa mujibu wa Mtume Muhammad S.A.W maumivu ya kutoka roho mfano wake ni kama mnyama kuchunwa ngozi akiwa hai yani yale maumivu yake anayopata akichwa ngozi ndio sawa na maumivu ya kutoka roho na ikiwa anayetolewa roho ni mtu muovu maumivu ni zaidi ya hayo.
Wakati wa kufa ukifika huwa wanakuja Malaika kutoa roho yako na kuondoka nayo kuirudisha kwa Muumba wako, na wewe unaye kufa huwa unawaona na unaongea nao hao Malaika, na watu wengine wote waliokuzunguka hawaoni wala hawasikii. utayajua haya tu pale siku yako ya kufa itakapofika.
Si kila binadamu anapokufa lazima anye, lakini kujikojolea ni lazima, hasa kwa vifo vya kushitukiza!Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.