Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

Wametoa punguzo ila hawajatoa bei elekezi
 
Naam nakumbuka na sababu zao ilikuwa, walikuwa bado wana mafuta waliyoyanunuwa bei ya juu.

Kuhusu "transparency" sijakuelewa kwani najuwa ukipitia website ya ewura vingi viko wazi.

Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)

Mafuta yakipanda leo kwny soko la dunia hawa hapa kwetu wanapandisha bei the same day, kumbuka bei inayopanda kwa wakati ule ni yale mafuta reserve waliyonayo ambayo kimsingi hsyapaswi kupanda mpaka waagize mengine
 
Sijawahi kusikia hao EWURA wakitangaza kushuka kwa bei ya gas ya kupikia ilhali msfuta na gas ni bidhaa zinaendana na bei hupanda na kushuka kwa pamoja ktk soko la dunia. Tunaotumia gas majumbani tunapigwa sn bei
 
Mafuta yakipanda leo kwny soko la dunia hawa hapa kwetu wanapandisha bei the same day, kumbuka bei inayopanda kwa wakati ule ni yale mafuta reserve waliyonayo ambayo kimsingi hsyapaswi kupanda mpaka waagize mengine

Hapana si kweli, sheria ya sasa hivi bei za mafuta zinabadilika kila Jumanne ya kwanza ya mwezi mpya.

Kajipange upya.
 
tanzaniaaaaaa nchi ya ajabu sana bei za bidhaaa zikipandaa kushukaga ni ngumu sana
serikali ya nchi hii ni ya kiwendaz..... sana, angalia mafuta, sukari, mchele na bidhaa zngine kushuka ni ngumu sana
hao wauza mafuta wakibanwaa kwann hawashushi bei watakuambiaaa bado kumaliza stock yetu tuliyonunua kwa bei ya juu ....nakubaliana hilo lakinini utakutaaa wakishapewa mwanya huo ahhh bei haishuki tena.
tunahitaji consumer union kwa nchi hii maana hizo ewura my @..sss na mamlaka zingine za uthibiti hawafanyi kitu chochote yaani
 
Hivi kwanini bei ya gas kwa ujumla ikiwemo petrol haishuki Tanzania ihali ktk soko la dunia imeshuka or should we say 'the bulk procurement contracts had no futures clauses' . I think this is also a ticking time bomb . Ukweli ni kwamba bei ya gas imeshuka sana haijatokea yapata muhongo mzima sasa. Kila mtu anauza oil sasa hadi ISIS. Kama uagizaji ungekua huria bei ingekuwa nafuu sana.
Kufix bei maana yake nini? yaani hii biashara ya uagizaji mafuta haina risk ya price inflation, basi hii ni super deal kwa hawa watu. Napita tu. Tunataka #uwajibikaji

Updates:
"The price of oil has fallen about 40 percent since mid-june and is expected to fall to a further 10-20% resulting in one of the biggest transfers of wealth in history, taking money from the coffers of oil rich countries to the pockets of people in ailing economies of Europe and America, potentially reshaping everything from Iran talks to The federal reserves continued stimulus program".

Our leaders could take advantage of this situation as we heavily rely on oil imports from the same countries.

Read the story - - Washington Post : http://www.washingtonpost.com/busin...4984b2-7971-11e4-9a27-6fdbc612bff8_story.html

Updates 2 :
----------

Another escrow, uchaguzi mwakani hela za kampeni. Wafadhili wamejitoa, very serious
 
delivery ina matter sana katika bei za mafuta.

Mzigo unaoshushwa leo utakuta ulipakiwa na kununuliwa kabla bei hazijashuka.

Lakini tumeona toka kuanzishwa mfumo huu bei zikipanda na kushuka. Tutegemee bei za miezi miwili au mitatu ijayo kuwa zitakuwa na unafuu.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.


]kidumu chamaaaaaa
 
Hapana si kweli, sheria ya sasa hivi bei za mafuta zinabadilika kila Jumanne ya kwanza ya mwezi mpya.

Kajipange upya.

Marekebisho kidogo sis.Faiza, ni Jumatano ya kwanza ya mwezi ndio inaanza kutumika bei mpya ..
 
Itashuka Vipi Wakati Mafisadi Ndo Wameshikilia Hiyo Sekta
 
Pipa kwa sasa ni $40 = Tsh 84000/= lenye ujazo wa lita 240 ila sasa kodi ndio balaa ingewezekana kuuzwa ata Tsh 1200/=

Katibua, bei ya kitu gani kwa pipa la lita hizo ni $ 40 na ni wapi hiyo ?
 
ERC cuts fuel prices as crude hits 5.5-year low

oil.jpg


Starting Sunday midnight a litre of petrol will retail at Sh102.01, diesel Sh90.85, and kerosene at Sh71.37.

The energy regulator attributed the drop to lower crude prices that are on a free-fall as a result of oversupply amid weak demand.

Global oil prices tanked Friday to fresh lows not seen since May 2009 with U.S. crude prices sliding below $58 a barrel on concerns over a global supply glut and gloomy demand.

Source: Businessdailyafrica.com
 
Apatikane Rais anayeweza jali watu wake hapo Eura watamuogopa kwasababu wananchi hawajuwi kudai haki zao.
 
Wakuu habari zilizopo bei ya mafuta itaendelea kushuka hadi kufanya ugunduzi mpya kua hauna tija tena. Lakini bongo bei iko vile vile sijui tatizo nn
 
Back
Top Bottom