Ilitakiwa iwe hata 1800/ltr, kuna wizi ndani yake hapo
Mbona imeshuka kidogo sana?? Wakati bei ya pipa moja katika soko la dunia imeshuka toka $68 had $40.
Delivery ina matter sana katika bei za mafuta.
Mzigo unaoshushwa leo utakuta ulipakiwa na kununuliwa kabla bei hazijashuka.
Lakini tumeona toka kuanzishwa mfumo huu bei zikipanda na kushuka. Tutegemee bei za miezi miwili au mitatu ijayo kuwa zitakuwa na unafuu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
mbona mimi huku nlipo.imeshuka kama week 3 au mbili nyuma.
nakumbuka nlikuwa nanunua 2482/litre ila sasa hivi ni 2120.
Hivi mkuu unaweza kuwa na mabadiliko ya bei za wese tangu 2000 mpaka leo katika soko la dunia ili tuone ni kwa kiasi gani hawa mafisadi wa wese wanavyofanya maisha ya mtanzania kuwa magumu siku hadi siku? Please.
On the other hand I think suala la kushuka litachukua mda kwa sababu wafanyabiashara wa wese bongo wanajifanyaga wajanja. Watakwambia stock walionayo waliinunua kipindi cha bei juu sasa hawawezi kushusha ghafla watapata hasara. Thats what happens in this country. Sidhani kama kunaweza kushusha bei fasta fasta hivi.
Tuombe tu mafisadi waondoke nchi hii. Wamefanya maisha yamekuwa magumu kwa mtanzania wa chini. Wanaweka hela zao nje wananufaisha maisha ya wazungu ulaya na mashariki ya mbali wakiacha watu wao wanateketea
Wapi dar au mikoani? Hapa tanga wanauza 2,300/lita
Hapa mafuta yakipanda siku moja nao wanapandisha siku hiyo hiyo lakini yakishuka inaweza kutumia hata miezi sita!Mbona imeshuka kidogo sana?? Wakati bei ya pipa moja katika soko la dunia imeshuka toka $68 had $40.
Ni Dar na vituo vya mafuta vya Total, hapo nilipowekea mafuta kituo cha Mbezi Africana pump moja tu ndio ilikuwa inatumika na ndio yenye mafuta peke yake basi ni foleni balaa
Hapa mafuta yakipanda siku moja nao wanapandisha siku hiyo hiyo lakini yakishuka inaweza kutumia hata miezi sita!
Hivi mkuu unaweza kuwa na mabadiliko ya bei za wese tangu 2000 mpaka leo katika soko la dunia ili tuone ni kwa kiasi gani hawa mafisadi wa wese wanavyofanya maisha ya mtanzania kuwa magumu siku hadi siku? Please.
On the other hand I think suala la kushuka litachukua mda kwa sababu wafanyabiashara wa wese bongo wanajifanyaga wajanja. Watakwambia stock walionayo waliinunua kipindi cha bei juu sasa hawawezi kushusha ghafla watapata hasara. Thats what happens in this country. Sidhani kama kunaweza kushusha bei fasta fasta hivi.
Tuombe tu mafisadi waondoke nchi hii. Wamefanya maisha yamekuwa magumu kwa mtanzania wa chini. Wanaweka hela zao nje wananufaisha maisha ya wazungu ulaya na mashariki ya mbali wakiacha watu wao wanateketea
Does it reflect the reality in the world market? NO.
A price of one barrel dropped from 68$ to 40$.
For this case your price should have been at least 1500-1700