Kwa sasa mafuta ni 1980 Petrol na Diesel 1860 tunatarajia yaendelee kushuka kabisa hadi 1300 kabisa...
umenena mdau. ndio tutaona kama ewura inalinda watumiaji wa mafuta au wanaendeleza unyonyaji wa wafanya biasharaKutokana na kushuka kwa bei ya mafuta duniani kutoka $110 hadi $ 58 leo, itabidi bei elekezi mwezi ujao ishuke hadi sh 1,300 kwa lita au chini ya hapo. Watumiaji vyombo vya moto tuwe makini tudai bei ya chini, otherwise serikali itatoza kodi kubwa kufidia nakisi ya bajeti. Tuangalie haki zetu
Kwa sasa mafuta ni 1980 Petrol na Diesel 1860 tunatarajia yaendelee kushuka kabisa hadi 1300 kabisa...
Mkuu unajazia wapi......?......niambie sasa hivi niwashe Puma kutoka hapa Yaeda.........nije kujaza......hata kama ni huko Mbozi............
Kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta duniani kutoka $110 hadi $ 58 leo, itabidi bei elekezi mwezi ujao ishuke hadi sh 1,300 kwa lita au chini ya hapo. Watumiaji vyombo vya moto tuwe makini tudai bei ya chini, otherwise serikali itatoza kodi kubwa kufidia nakisi ya bajeti. Tuangalie haki zetu
Tatizo shilingi imepoteza thamani. Hizi sarakasi zinaathiri vingi ndani na nje ya nchi. Ngoja tuuguze tezi dume kwanza
Binamu huyu jamaa Ana jazia wapi maana sasa Leo na petrol imesimama shs.2029....
Kwa sasa mafuta ni 1980 Petrol na Diesel 1860 tunatarajia yaendelee kushuka kabisa hadi 1300 kabisa...