Nikija kutana na mtu yyt wa ccm peponi, mii ntatoka!
Hahaaaaaa!
Nikija kutana na mtu yyt wa ccm peponi, mii ntatoka!
Shillingi imeshuka thamani kwa asilimia 4.5% sasa tukitoa punguzo la thamani la bei ya mafuta katika soko la dunia ambapo inafikia 47.3% tunapata salio la 44%. Sasa tukizidisha kwa bei ya Tshs 2190 iliyokuwa hapo awali inamaan bei ya sasa ilitakiwa iwe ni Tshs 1,226 msitake kutudanganya bana shusheni bei mnatuumiza!!!! Ila mitanzania ndivyo tulivyo tutaishia kulalamika tu hamna kitu huku tunaumizwa na bei za kulanguliwa za mafuta
Upo sawa 2029, ila tukumbuke kuwa shilingi yetu pia ina tatizo ingawa leo pia ilikua imara kidogo rates ilikua chini ya 1725Binamu huyu jamaa Ana jazia wapi maana sasa Leo na petrol imesimama shs.2029....
mbona mimi huku nlipo.imeshuka kama week 3 au mbili nyuma.
nakumbuka nlikuwa nanunua 2482/litre ila sasa hivi ni 2120.
Delivery ina matter sana katika bei za mafuta.
Mzigo unaoshushwa leo utakuta ulipakiwa na kununuliwa kabla bei hazijashuka.
Lakini tumeona toka kuanzishwa mfumo huu bei zikipanda na kushuka. Tutegemee bei za miezi miwili au mitatu ijayo kuwa zitakuwa na unafuu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mbona ikipanda leo na kesho wanapandisha hawa subiri mzigo uliopo ndo uishe?
Hii mchi huwa haina mwenye uchungu na mwananchi
Nikija kutana na mtu yyt wa ccm peponi, mii ntatoka!
Upo sawa 2029, ila tukumbuke kuwa shilingi yetu pia ina tatizo ingawa leo pia ilikua imara kidogo rates ilikua chini ya 1725
Ngoja nizidi kumuuliza huyu ndugu Ili tujue.......weka LX V8 on binamu..........nakupitia.......
Kabla ya kutoa conclusion, awali ya yote tunatakiwa kuangalia trend na kufahamu bei ya mafuta ilianza kushuka lini na kwa upande mwingine tuangalie mzigo wa mwisho Tanzania ulikuja lini. Ikiwa bei, say imeanza kushuka two weeks ago wakati mzigo ulio sokoni umeingia kabla ya hapo then there's no way bei itashuka... mafuta sio kama maharage ya Mbeya kwamba, ukishasikia bei ya maharage imeshuka, siku hiyo hiyo unaweza kwenda na kesho kurudi na mzigo wa bei ya chini.
Hadi October 20 bei ya pipa 1 kwenye soko la dunia ilikua $110, imeendelea kushuka hadi leo ni $59.360, na niseme hivi, tokea bei imeanza kushuka haijawahi kupanda hata siku 1 huko kwenye soko la dunia, tukubali tu hapa kwetu tunalo tatizo, Burundi, Rwanda, Kenya, Africa kusini kote huko bei ya petrol na diesel imeshuka pia, bongo wala haishuki! Tunayo shida, tena kubwa hapa.