Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

Ukiona hivyo mafisadi wameanza kunyofoa mirija yao.

yatazidi kushuka. Ishu ya Escrow imesaidia kuwatetemesha wapiga dili.

Sidhani kama ishu ya Escrow inahusika kwenye soko la dunia. Oil prices imeshuka soko la dunia na sio soko la Tz. Draw the line
 
Kabla ya kutoa conclusion, awali ya yote tunatakiwa kuangalia trend na kufahamu bei ya mafuta ilianza kushuka lini na kwa upande mwingine tuangalie mzigo wa mwisho Tanzania ulikuja lini. Ikiwa bei, say imeanza kushuka two weeks ago wakati mzigo ulio sokoni umeingia kabla ya hapo then there's no way bei itashuka... mafuta sio kama maharage ya Mbeya kwamba, ukishasikia bei ya maharage imeshuka, siku hiyo hiyo unaweza kwenda na kesho kurudi na mzigo wa bei ya chini.

Mbona ikipanda hilo haliangaliwi mkuu? Ikipanda mbona hatusubiri mzigo sokoni ulionunuliwa kwa bei nafuu uishe?
 
Bei ikipanda wanapandisha ghafla regardless na siku ya kununua na stock date.

Ni kweli ila tabia hiyo huwa haikomagi hata pale ambapo wanakuwa wamemaliza stock.
Wanafaidika na uwoga wa watanzania wasiopenda kuhoji mambo
 
Mwaka 2011 bei ya mafuta Dar ilikuwa around sh. 2000...leo, bei hii haijabadilika kwa kiwango cha kutisha.

Unafuu wa kushuka kwa bei ya soko la dunia hauwezi kuonekana kwa kiwango kikubwa Tanzania kwa sababu TZ Shilling ni dhaifu mno na inapoteza thamani kwa USD (fedha inayotumika kununua mafuta nje) kila kukicha. Hivyo, juhudi za kuleta unafuu kwenye sekta lazima ziende sambamba na kuongeza mauzo yetu nje...ili tupate USD na kuimarisha Shilling. Bila hilo basi bei ya vitu mbali mbali yakiwemo mafuta, magari na vingine bei zitaendelea kupanda tu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu hiyo price ya $ 40 umeitoa wapi ? Price ilikuwa around $ 110- $ 115 kabla ya August, ikaanza kushuka taratibu mpaka wiki hii inachezea $ 66 - $ 73 per barrel na ndio the lowest for almost 5 years..

Sorry, nime miss-quote sehemu.
 
Kabla ya kutoa conclusion, awali ya yote tunatakiwa kuangalia trend na kufahamu bei ya mafuta ilianza kushuka lini na kwa upande mwingine tuangalie mzigo wa mwisho Tanzania ulikuja lini. Ikiwa bei, say imeanza kushuka two weeks ago wakati mzigo ulio sokoni umeingia kabla ya hapo then there's no way bei itashuka... mafuta sio kama maharage ya Mbeya kwamba, ukishasikia bei ya maharage imeshuka, siku hiyo hiyo unaweza kwenda na kesho kurudi na mzigo wa bei ya chini.

Mafuta katika soko la dunia yameanza kushuka bei toka August mkuu, na toka hapo yamekuwa yakishuka mpaka sasa..
 
Tshs 1910

Hao ndo wajasiriamali walio fasta fasta. Ila nahofia hawa wafanyabiashara wengine wasije kuwa sabotage buuureeeeeeee.
Manake hii biashara hadi Royal Family nayo ndani.
 
Does it reflect the reality in the world market? NO.

A price of one barrel dropped from 68$ to 40$.

For this case your price should have been at least 1500-1700

Huyo yupo mkoani kwa bei hiyo ni either yupo kanda ya ziwa either kigoma au kagera ndo bei zake hizo
 
Faiza Foxy wewe ni mama mwenye huruma kwa wenye nacho,lakini huna undugu na maskini kama Bank za Tanzania.
 
Dunia nzima makapun ya kuzalisha mafuta yana haha kuzuia uzalishaji usiendelee kua mkubwa kwan bei ya crude oil ktk soko la dunia imeshuka more than 30% approcaching 40% ila cha kushangaza bei za mafuta hapa bongo ziko juu tu, who is getting the super profit??? kuna old joke eti stock ya zaman if that is the case mbona ikipanda na wao wanapandisha promptly??? mafuta hapa yameshuka kwa sh 10 je hii inaendana na soko la dunia??
 
  • Thanks
Reactions: SMU
I was wondering about the same thing!!Au sie tunaenda kinyume nyume!Yani hamna uafadhali kabisa!!Jibu ni kuwa wafanya biashara wakubwa wa mafuta tz wanapata back up ya watawala au ni watawala wenyewe!
 
Rushwa ya Tanzania ebola haioni ndani. Viongozi wakuu wezi kupindukia. Zamani tuliamini Ilikuwa sifa ya viongozi wa Kenya. Kwa hali ya sasa wa Kenya wanawaonea wivu viongozi wa Tanzania maana wamewazidi kwa ufisadi
 
Hapa bongo wadosi wameiweka serikali na SUMATRA mfukoni, haiwezi kuwakemea wala kuwapangia bei elekezi. Ukiuliza watakuambia hiyo ni stock ya zamani.

Bongo tunapigwa sana na serikali inachekelea tu.
 
I was wondering about the same thing!!Au sie tunaenda kinyume nyume!Yani hamna uafadhali kabisa!!Jibu ni kuwa wafanya biashara wakubwa wa mafuta tz wanapata back up ya watawala au ni watawala wenyewe!

Mkuu viongozi wetu wamejikita kwenye biashara hiyo. Ndio hao hao wanamiliki malori makubwa ya kusafirisha mafuta/mizigo hadi wameua reli ya kati.
Sijui 2015 tutapata kiongozi wa aina gani
Tunahitaji Mwanawasa amuweke ndani Chiluba
 
Jamaa wanafukia mashimo ya ESCROW kuna vitu vitatu visivyoshiba kamwe, naamu vinne visivyosema basi, kuna siku Mungu atatusaidia maana hata sisi watanzania ni matokeo ya kazi ya mikono yake.
 
Bila maandamano ya kudai haki watawala na CCM yao hakuna watakachoelewa nchi na watu wake wanahitaji nini.Wafanyabiashara wanaamini hakuna chama wala serikali Tz wanafanya watakavyo.Hayupo Nyerere wakutetea umma.
 
Pipa kwa sasa ni $40 = Tsh 84000/= lenye ujazo wa lita 240 ila sasa kodi ndio balaa ingewezekana kuuzwa ata Tsh 1200/=
 
Mkuu Tanzania ni ajabu la kwanza la dunia, serengeti na ngorongoro wameshika bendera tu nchi hii ni shiiida, mwizi wa mali ya uma analindwa, halafu waje na kitu haki kama nchi zinazotambua raia wao? bado sana.
 
Back
Top Bottom