What are u trying to achieve poor soul?
Usijaribu kuchokoza masuala ya imani. Zipo waaay beyond your level of thinking
What are u trying to achieve poor soul?
Usijaribu kuchokoza masuala ya imani. Zipo waaay beyond your level of thinking
Sasa unamlazimisha aingie au? Sheikh huwa anaingia kanisani? Si huwa wanatuita makafir? Acha kuhoji nonsense
Kama haruhusiwi kusali mbona Papa amesali..
Hoja mgando!
Lakini papa aliingia na hakusilimu na AKASWALI tena akakaa mbeleee.Unasemaje hapo kwenye picha????
the reasons are not as important as u try to make them......follow your path!
Hakuna Papa aliyewahi kufika Mecca!
Nonsense kwasababu hujui na hujijui kama hujui.
Tofautisha msikiti na Synagogue.Papa hakuingia msikitini
asa kama ni tofaut mbona kuna hoja nazisikia kua yesu alikua muislamu kisa eti aliingia kwenye synagogue ya kiyahudi? nijuze mkuu
Kama haruhusiwi kusali mbona Papa amesali..
Nikwamba kuna sehemu ambayo ni ya kihistoria kwetu wakristo ambapo msikiti umejengw juu yake. So ukitaka kuhiji hiyo sehemu nilazima uingie msikitini. Pope alienda kuhiji huko.
Albosignathus pitia sehemu hizi hapa juu (red) jamaa kafafanua vizuri!si kweli kwamba mtu asiye muislamu harusiwi kuingia msikitini,unaingia vizuri tu,ukiona mtu ana mkataza asiye muislam kuingia msikitini ujue elimu yake ndogo na aufaham uislam,cha msingi afate taratibu za pale,ila hataswali mpaka aamini,labda aswali kwa taratibu za dini yake,ndugu zangu hili jambo lilishatokea enzi za mtume,walimfata watu wasio waislam wakamkuta msikitini,wakawa wanafanya mazungumzo,ulipofika mda wa ibada yao wakamuomba waswali,akawaruhusu.
Mkuu unasikia alikuwa muislam japo HAKUWA na kama angekuwa basi Masinagogi ya wayahudi yangelikuwa yanatumiwa na waislam hadi leo.
Swala sio papa kufika mecca,swala ni kwanini papa aliingia msikitini na kuswali ilhali yeye anadai ni mkristo??