Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,379
- 8,849
Unatakiwa umuombe mama amrudishe
Ndi ndi ndi..'Kibaka akivamia hapa anapigwa hicho kichwa hadi kinalia kama ngoma ya daku'
Tabora haikuwahi kupata mkuu wa mkoa poa kama Mwanri.naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora
mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote??
huyu ni mtu wa aina gani?
Humjui vizuri Mwanri wewe... Staili yake ya uongozi amechanganya na u comedian ili mambo yake yaende na alifanikiwa sana. Hana makando kando ya kutesa au kuteka watu kabisa.Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora.
Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote?
Huyu ni mtu wa aina gani?
Watu Wana mbinu hongera kwakeAlivyokua anaonekana kwenye Media hayakua maisha yake halisi.
Hakika mwananguamesoma na mzee wangu chuo mzee ananiambia alikua mtu wa utani utani kama alivyo hivyo hajabadilika mtu peace sana