Kwani shepu ni makalio na hips tuu...!?

Kwani shepu ni makalio na hips tuu...!?

Huyo lazma unywe konyagi chupa 3 then bangi misokoto mi5 ulewe umwone beyonce, ila pombe ziisha kichwani utatoka mbio bila nguo mana utaona kma jini
 
1175323_435984933178493_469846523_n.jpg

haahahahaahahahahaahahahah!!!!!!!!!!!!! nafwa mie.
 
sasa wale mademu wembamba, wenye miguu kama minazi ya beach lakini unakuta kafungasha hasa ma.ta.ko. Ile nayo ni shepu au shepua?
 
Nalilia bahati na pesa mieee.... nikitaka shepu hata kwa mchina napata lol!
 
Back
Top Bottom