NA AJUE KUKIZUNGUSHA....Aah miguu kifua na kiuno ndio kila kitu mengine majaaliwa...
Ndo maanake, wasio na makalio na hips ni shapeless.
kwanza maana ya shepu ni neon la kingereza yaani shape au figure. kwa Kiswahili yaani umbo. kwa hiyo basi kila mtu, magari na vitu mbalimbali vyote hivyo vina shape. Sasa kwa mtu layman ndo utasikia ansema duh eti yule msichana ana shepu! kumbe inatakiwa aseme yule msichana au mwanamke ana shepu nzuri! lazima umalizie ni shepu nzuri au mbaya au sijui ya aina gani nk.
Wanawake wenyewe wanakuambia mwanamke shepu, sura hata beberu anayo...
Uwiiii, cna hamu, jicho fast a kuliko Google.Gudmnng.
dah... mate yamenitoka dadeki.. mdada anajua kukata uno!...! afu kakutana na mshkaji nae mikono inazunguka sehemu nyeti tu..!NA AJUE KUKIZUNGUSHA....
![]()
NA AJUE KUKIZUNGUSHA....
![]()
Wanawake wenyewe wanakuambia mwanamke shepu, sura hata beberu anayo...
morning too mkuu... hilo ndilo jicho la mvulana..! google haioni ndani kwenye speed pale linapoona ta-ko na hipsi!
MHM!!!
![]()
outer layer inaonekana faster kuliko inner layer!Vingine havionekani fasta eti?
outer layer inaonekana faster kuliko inner layer!
core na lithosphere , for example!
Uii shape ni nyingi duniani, ii cjawai iona.