Kwani shepu ni makalio na hips tuu...!?

Kwani shepu ni makalio na hips tuu...!?

me kifua tu. sio unamakalio makubwa na hips. matiti makubwa kama waimba taarabu. hapo hamna shape.
 
Nimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips Najiuliza tuu kwani shepu ni hips na makalio tuu ?

Hivi Tyta una mgomo au!!!??????

1926856_527715547338764_196883706_n.jpg
 
Pamoja na kwamba Maulana ni fundi wa mafundi, lakini walah tena kuna wadada huwa wanachambia hamira...

Hivi kwa hili toto la Kinyarwanda si naweza nikauza nyumba ya urithi mimi nirudi kwetu Usukumani kwa miguu...

hahahahaaa watu8
 
hahahahahaah,taratibu mkuu
 
Aah miguu kifua na kiuno ndio kila kitu mengine majaaliwa...

Ingawa neema za al.. Huwa zinavutia kwa uharaka zaidi bila hata ya kuchunguza sana
 
Nimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips na makalio makubwa huku wakitoa udenda wa matamanio
Nimeshuhudia pia wanawake wakiwasifia wanawake wenzao wenye hips na makalio makubwa kuwa wana shepu bomba
Sura kifua mikono na miguu huwa havipewi umuhimu mkubwa kwenye kusifia shepu ya mtu
Najiuliza tuu kwani shepu ni hips na makalio tuu ?

Baba, location ya kigegedeo iko wapi, hicho ndio cha muhimu. Mengina ni ziada tu.
 
Nimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips na makalio makubwa huku wakitoa udenda wa matamanio
Nimeshuhudia pia wanawake wakiwasifia wanawake wenzao wenye hips na makalio makubwa kuwa wana shepu bomba
Sura kifua mikono na miguu huwa havipewi umuhimu mkubwa kwenye kusifia shepu ya mtu
Najiuliza tuu kwani shepu ni hips na makalio tuu ?

kwanza maana ya shepu ni neon la kingereza yaani shape au figure. kwa Kiswahili yaani umbo. kwa hiyo basi kila mtu, magari na vitu mbalimbali vyote hivyo vina shape. Sasa kwa mtu layman ndo utasikia ansema duh eti yule msichana ana shepu! kumbe inatakiwa aseme yule msichana au mwanamke ana shepu nzuri! lazima umalizie ni shepu nzuri au mbaya au sijui ya aina gani nk.
 
Back
Top Bottom