Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza
 
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza
Tanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sana
 
Back
Top Bottom