GE2025 Kwako ndugu January Makamba

GE2025 Kwako ndugu January Makamba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hilo lijamaa halijitambui kabisa. Limejiunga leo kwa kutumia ID inayofanana na jina langu. Sasa nashangaa imekuwaje Jamii Forum waruhusu kitendo cha aina hiyo kufanyika. Hii ni kutaka kunichafua . Lakini pia ni kushusha hadhi na heshima ya jukwaa hili.
Mripoti kwa moderator watampiga pin
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Sio lazima uzaliwe Gamboshi hata Moshi wachawi wapo ....
Miaka 50 VETA ? Serious joking
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
January Makamba ni bilionea🐼
 
Daah sijui Kwanini makamba kapoteza mvuto ghafla now days ......

Zamani January makamba alikuwa na mvuto wa pekee Hadi akaitwa presidential material

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama Mungu kampangia siasa ndiyo portion yake, it matters less Kwa wanadamu kumwangia....Just wish him all the best inatosha, kumwazia nduguyo mabaya ni ishara ya moyo wako kuwa mwovu
 
Siku akiwa KM wa chama ndiyo utaanza tena kujipendekeza ama?
 
Iga na kudondosha gazeti reeefuuu
1744872425267.jpg
 
Hilo lijamaa halijitambui kabisa. Limejiunga leo kwa kutumia ID inayofanana na jina langu. Sasa nashangaa imekuwaje Jamii Forum waruhusu kitendo cha aina hiyo kufanyika. Hii ni kutaka kunichafua . Lakini pia ni kushusha hadhi na heshima ya jukwaa hili.
Anayeshusha hadhi na heshima ya hili jukwaa ni wewe na machawa wenzio
 
Huna akili .
NUKUU ZA LEO

A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela.

😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi.

C). "Uhaini si kuzuia serikali kufanya kazi yake, uhaini wa kweli ni kuzuia wananchi kufanya siasa na kuzuia wasieleze hisia zao kwa viongozi" Kiiza Besigye.

D). “Kama dola inamfumba mdomo raia wake mwenye maoni, basi dola hiyo ni mbaya kuliko shetani, maana Shetani hajawahi kuzuia maoni hata ya wale wanaompinga na kumkemea.” Ngugi wa Thiong'o.

E). "Askari wanaoficha sura zao wanajua wanatekeleza amri isiyo halali, maana hakuna amri halali inayotekelezwa gizani. Haki huishi katika mwanga wa uwajibikaji.” Hakainde Hichilema.
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Sasa kama hujui Makamba kuachwa ni mkakati wa Kuja kuwa KATIBU MKUU WA CCM Baadae na pia kumuweka mbali na Skendo kwa ajili ya kuuchukua URAIS 2030 Wewe Mwashamba unajiita sijui CDE na wakati hujui linaloendelea kwa wahuni wenzako Yani uko Huko CCM Kama KIVUMISHI CHA IDADI mfano Kwamba, ambaye 😏😏pumbavu
 
Back
Top Bottom