GE2025 Kwako ndugu January Makamba

GE2025 Kwako ndugu January Makamba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hilo lijamaa halijitambui kabisa. Limejiunga leo kwa kutumia ID inayofanana na jina langu. Sasa nashangaa imekuwaje Jamii Forum waruhusu kitendo cha aina hiyo kufanyika. Hii ni kutaka kunichafua . Lakini pia ni kushusha hadhi na heshima ya jukwaa hili.
Wewe kunguni umesoma mwongozo wa JF kuhusu majina au unadandia tu na kujiliza hapa.?

Acha kuwa mvivu na kilaza kama huyu wakili wa serikali kwenye kesi ya Lissu.

Kasome mwongozo.
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu

Then paaaaah ameeenda kuwa katibu mkuu wa chama chako

Sijui sura yako utaweka wapi
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
We mwamba ni hatari sana.🤣🤣🤣🤣
Mwanzoni nimeshangaa inakuwaje naiona thread ya mtu niliyemui-ignore?

Kumbe ni mwamba mwingine kabisa.
 
Kumbe ni mbubujiko feki, nimeshangaa Mwashambwa leo kimetokea nn adi aandike bandiko fupi kama mkia wa kifaru namna hii?
 
Labani og Siokweri kua kapoteza mvuto kumbuka jiwe alimtumia ilikuirudisha tanesco na ile misimamo aliomupa .Hata saa100 nae alimupa kitengo kwaajiri ya kukamilisha kitu frani na ku Mweka bench kulikuja baada ya janja watu kuanza kumwandaa Kama mgombea ugumu # Huyu janja usimimpe time ya kujielezea chapu anakuteka.huyu anajiweza na ana miradi mingi mikubwa ukiambiwa unaweza kimbia hivyo mutu Kama ndugu Lucas mwashamba kumu diss kiaina nikujitekenya naninashangaa vijana hatupendani tunataka wazee watuongoze
Yule hana miradi ila kachota mabillion ya maana pale tanesco na cha pili jiwe hajawahi mtumia pale tanesco
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Mganga kafa,inabidi atafutwe fundi mwingine mkali zaidi,mganga toka enzi na enzi yule yule,kachoka!
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Huyu ni milionea ana fedha nyingi alochukuwa kwenye miradi ya umeme.
Ana share katika company nyingi tanzania
 
Back
Top Bottom