Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu