Kwako Babu Mpendwa 💕

My dia mjukuu. Tulikaa meza moja na bibi yako Sky Eclat tukakubaliana tumtafute msaidizi. Maana bibi yako si unajua tena kashachoka anataka msaidizi.

Sasa kama Kasie kaamua kuingia kwenye familia yetu kwa hiari yake. Basi mimi na bibi yako Sky Eclat tutamuoa kwa pamoja....

Itakuwa Sriisamu ya uzeeni kabla hatujadedi

Wewe ombea tu huyo babu wa Butiama niwe mimi yua dia babu. Utakuwa na mabibi wawili... Bonus hiyo kwako kama umenielewa vizuri

Raaahaaaa, raha tupu kupendana na wewe raha tupuuu ...🥰🥰.
 
sawa babu ODM nenda Butiama ukale pensheni yako kwa bibie Kasie ila hakikisha unaichakata K-Vant mpaka Konyagi ione wivu.
Usisahau kumpa na ile style mpya ya Royal Tour.

Khaaa jamaniiii...!!

Mbona kama nimesoma sauti ya wivu kwenye haya maandishi....!!!😅😅😅😜
 
Bibi utafika mbinguni sehemu zako za Siri zikiwa zimechoka sana

Bora mie ntafika nazo japo zimechoka....

Wako ambao hawasemi wafanyayo, wanajificha nyuma ya keyboard kuwa za kwao bado mbichi safi zimetumika kidogoo ..... eeheheheheheheee

Uzuri kule mbinguni hakuna kuvaa nguo kwahiyo kila mtu ataona ya mwenzie...

Sasa hao wanaojificha nyima ya keyboard kubwa wako safi, pale kwenye eneo la siri patakuwa wazi yaani zitakuwa zimetumika hadi zimeisha zoteee zimelika kabisa.... hata kufanyia chupa chakavu hazitafaa.....

Nyundo ngoooo, msumari ngooo... 🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️.
 
Oooops! Miaka 71:(:( Ila shamba lipo hekari za kutosha 😇🥰😘 kumalizia uzee wetu

Aahahahahahahaa babu akipita hapa atacheka kwa hasira vile watu wanajidhani ndo yeye....😜😜

Babu wangu na mie (ODM) nampenda sanaaaa, twajua vile twapeana raha....
 
Aahahahaha usipotee sana, the old wing is missed humu JF....

Sasa hivi kila unakopita unakutana na kina Junior na vile wengine tumechomwa adrenaline ya JF MMU basi tunajikaza hivohivo...😜😜.

Umemtaja Bishanga nae amepoteaaa...!!

Babu huyu ni wa Butiama aka ODM 🥰.
Unamzungumzia Asprin ?

Amsalimie sana huyo jamaa
 
My dia mjukuu. Tulikaa meza moja na bibi yako Sky Eclat tukakubaliana tumtafute msaidizi. Maana bibi yako si unajua tena kashachoka anataka msaidizi.

Sasa kama Kasie kaamua kuingia kwenye familia yetu kwa hiari yake. Basi mimi na bibi yako Sky Eclat tutamuoa kwa pamoja....

Itakuwa Sriisamu ya uzeeni kabla hatujadedi

Wewe ombea tu huyo babu wa Butiama niwe mimi yua dia babu. Utakuwa na mabibi wawili... Bonus hiyo kwako kama umenielewa vizuri

🤣🤣🤣 we mzee mtamuoa kwa pamoja??
 
Hii inaonesha wazi babu ni muafrika asilia....

Ana boma lake na ndani ya boma ana nyimba kadhaa.

Kika bibi anajua majukumu yake, bibi wadogo wote wanamsikiliza bibi mkuu Sky 😜.

Aahahahahaa this is more than a joke and mind refresh but to some extent its some people's reality in their real life. Na maisha yanaenda vizuri tuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom