Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na babu mwenyewe ashafika ....🥰🥰
Ananipeleka mwendo wa raga muffin....😍.
Sema tunaibiana, pensheni zetu zilishakutana kabla hata vinaniliu vyetu havijakutana...😅😅😅🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Yeah.Ni vile tu hutaki amani[emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaaa
Niko nawaangalia. Nikawaza huyo babu ni Bishanga au
Mambo poa kabisa...tumepotezana sana ila nipo