Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Kama hii ni kweli, basi mimi namsihi asisite kuja humu kuomba msaada wowote ule atakaohitaji kwenye hili jambo lake. Kwa pamoja tutaweza kunyoosha mkono.

Binafsi nimeguswa. Nilikuwa siamini kama kwenye hizi ID za vificho unaweza ukahisi kumfahamu mtu ila sasa ninaelewa.
 
Hey people,

Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu

Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo

Naumia lakini sina jinsi
Mungu akupiganie na hata ikitokea kiwe kifo cha bila maumivu. Nimepoteza Mamdogo kwa kansa ya ziwa nikapoteza na binamu yangu kwa kansa ya kizazi na figo. It was really painful to watch them
 
ni kweli enyew nimepata huzuni ila ndo hivyo, sijui familia yake watakua kwenye hali gani,, Yote kwa yote Mungu anaweza kumsaidia tujipe imani ila ikishindikana basi hakuna namna😔
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…