CHAIHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Kanatafuta attention tu usiogopeJoanah please π
Usitufanyie hivo.
Joanah usiseme hivyo please.
Omba watu wakuombee ila usijikatie tamaa naamini jiwazie mema mamaa usijipe stress, wagonjwa wengi wa cancer wanashindwa kupambania maisha kwa sababu ya kujikatia tamaa.
Pendeza
Kula vizuri
Lala vizuri
Zungukwa na watu unaowapenda
#UsijipeStress
Pole sana Joanah π. Kuna watu wanapita kwenye maisha yetu na kuacha alama ambayo haiwezi kufutika. Wewe ni mmoja wao. Sitaki kusema mengi, ila kuna wema wako ambao nitauweka moyoni daima. Mungu akupe nguvu, faraja na amani katika kipindi hiki kigumu. ππ½β€οΈHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
ππππππππWikiend tushaambiwa ukilewa tusichart haya sasa ndo mazara yake
Ivi kumbe upo seriously polee basi mtotoNitafute attention humu mimi ni mfanya biashara kwamba natafuta views?
Acha uphaller kijana
Nitafute attention humu mimi ni mfanya biashara kwamba natafuta views?
Acha uphaller kijana