Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
hapa kama mmetuchuukulia lugha yetu jamani kweli kibantu si mchezo
....oh, lugha yenu ipi hiyo!? Kibantu balaa, tunapohesabu tunaanza na solo=1
hapa kama mmetuchuukulia lugha yetu jamani kweli kibantu si mchezo
Ng'hana gete nkoi. Nadema no unene e mbuli ja ng'waguku.
Kwangu hakuna geti jeusi.
Jaribu tena.
Teddy!!!!!!!! sijui kwa nn kina teddy ni wazuri sana na shape hio naiona kwa my sis
Ha hahaha, he chene mamihayo pa neyo ma jashi sagala, gashinaga walile le bhugali lya bademi no kwi bunha komalambo
lipo bhana tena ni dogo dogo halina mwelekeo ni kama limepachikwa tu pale
halafu lina kakitundu kadogo sana sema umesahau kwa kuwa unafunguliwa
....oh, lugha yenu ipi hiyo!? Kibantu balaa, tunapohesabu tunaanza na solo=1
Nyani Ngabu na Obe Nashukuru sn wakuu!
Turudi kwenye lugha ya taifa kwa maslahi ya Wote wakuu!
Mmenifurahisha sn wakuu!
bestito naomba nitafsirie hapa maana yake nini?
he chene mamihayo pa neyo ma jashi sagala, gashinaga walile le bhugali lya bademi no kwi bunha komalambo
Hahahaa ndo kabisaaaaa unazidi kukosea.
Ngoja nikusaidie.
Geti langu ni la rangi ya kijivu na ni automatic. Linajifungua na kujifunga lenyewe.
Kukusaidia zaidi, naishi zip code 30338.
Hahhahaaaaa
"Ndio maana maneno mengi hovyo kumbe umekula ugali wa wachungaji Yani wachunga ng'ombe na kuongelea ktk mabwawa huko machungani"
Hiyo Ndio fasiri mamito!
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
babito jamani umenifurahishajeee leo?
heheheheheheeeeeeeee yaani mpaka hapa ofisini wananishangaa ninavyocheka kwikwikwiiiiiiii
na hii hapa ya mwisho bestito: Ng'hana gete nkoi. Nadema no unene e mbuli ja ng'waguku.
yeruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !!
yaani uko state ya bongo? heeeeeeeee!
sikuwezi :bump: