Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Dah!!pole sana mkuu,,,,,kwani hapa Bariadi ulikiwa na mishe gani??maana kama nakupata vile au siyo wewe???Teddy namjua sababu ni jirani yangu!!!
 
Ahaahahaaaaaa, nimefurahi sana nkwela Mentor kwani umeitaja vizuri sana mitaa yangu! Umenifanya nipamisi home, dah!
 
Last edited by a moderator:
This is the best packed part of your story Mentor "Their inner motive is to intimidate their partner into loving and supporting them.When their partner backs down, they assume they have won, but in truth they have lost”. John Gray namkubali sana. Mentor unaandika vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Mentor wimbo huu alinifundisha Mama yangu mzazi miaka mingi iliyopita wakati najifunza kiingereza, alinisaidia sana na sijui kwanini Mama aliupenda sana wimbo huu, sasa Mama yuko 80 plus na huwa namuimbia wimbo huu just the same alivyokuwa ananiimbia.

Mkuu Elli nidai reputation nikiwa kwa desktop mkuu.

(Btw..mkuu Invisible Fang Maxence Melo et al fikirieni uwezekano wa kuweka rep kwa mobile apps)

Bazazi kila siku uwa nakushauri..ukijiunga na uadishi wa vitabu utatajirika sana..Achana na Teddy

Mkuu kila jambo lina nafasi yake kwenye maisha. Nikimuacha Teddy nitaenda kwa nani mkuu???!

ahhaaha tutayaona

Nipe nafasi uone nilivyobadilika...

Endelea kuomba Mungu
its very possible ilibidi umpige ili upate fundisho la maisha

I pray that she forgives and come back to your arms.....

Amen mkuu...

Lami inakuja soon :cool2::cool2: mkuu Mentor wanatokea Magu ule kuja mpaka Bariadi
Hahahaha utadanganyika sana ngoja Teddy akusamehe utarudi tuu Bariadi

Maana yake niende Mwanza then ndo nianze kurudi Simiyu ilhali nilitakiwa kukatishia tu Shinyanga pale.

Ila Teddy akinisamehe hata kesho narudi Simiyu mkuu wangu....niko tayari kumface baba yake if only she says yes to me! She is one of a kind...
 
Last edited by a moderator:
Nipe nafasi uone nilivyobadilika...

Ahhhahhha ni sawa nimeng'atwa na nyoka kila nikiskia mtikisiko wa majani nakimbia 🙂🙂
 
[/B][/COLOR]

Umekua sasa!!!
too bad its a bit late!!!

Is it Ennie? None of us is married yet for all I know.

ghafla tu nimekumbuka vipigo nilivyowahi pokea kipindi fulani cha maisha yangu

naskia hasira

ila...Thank God yashapita
mwallu kwa niaba yake (na wanaume wengine wote waliowahi kuwapiga wapenzi/wake zao) ...kwako na kwa wanawake wengine waliyopitia uliyopitia naomba MSAMAHA ni ujinga ulitujaa. Hatukujua njia tofauti za kusuluhisha tofauti zetu.

Ni ujinga wetu kudhani ukimpiga mwanamke basi ataona unampenda na kumuonea wivu.

Ni ujinga..hatukujua.

Tuwieni radhi...na mtusamehe.

NB: Teddy wewe nisamehe na kunipokea tena, nimejifunza mpenzi.

Harudi ng'oo ndo ujifunze....mxiiiuuu mi mwanaume anayepiga akafie mbele huko

Kha shem hadi wewe? Ni kosa kama makosa mengine shem. La maana ni kujitambua na kubadilika shem.

Ni kosa kama ubazazi kwa babu Asprin..tusameheane!

Kwani bado hujampata wa kuchukua nafasi ya teddy? Miaka yote iyo ?

Bado mkuu....

Mimi ni Polisi: “Muiseke wangu Nyamughe" Leo ni Tedy...Najaribu kufikiria ni nini tunatafuta kwa viumbe hawa maana hata umpate the said Cleopatra bado ukikutana na Sikitu wa Katavi hutakosa sifa shawishi zaidi,japo ni kwa muda mfupi!

Nikipata jibu nitakuambia mkuu Horseshoe Arch. Kwa sasa najua namtaka Teddy tu. Wengine wote kwake hawafui dafu!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah!!pole sana mkuu,,,,,kwani hapa Bariadi ulikiwa na mishe gani??maana kama nakupata vile au siyo wewe???Teddy namjua sababu ni jirani yangu!!!

Ahaha unamjua Teddy mkuu? Anaishi pale karibu na kanisa..ninesahau jina lake. Mwambie anisamehe basi kaka. Mwambie nampenda ati...

Ahaahahaaaaaa, nimefurahi sana nkwela Mentor kwani umeitaja vizuri sana mitaa yangu! Umenifanya nipamisi home, dah!

Napamisi Bariadi pia. One day nitarudi.

This is the best packed part of your story Mentor "Their inner motive is to intimidate their partner into loving and supporting them.When their partner backs down, they assume they have won, but in truth they have lost”. John Gray namkubali sana. Mentor unaandika vizuri sana.

Thanks for noticing it mkuu. Na mimi nilipofika sehemu hiyo kwenye hicho kitabu mawazo yalihama ghafla tu.

Natumai tutajifunza kupitia kwangu.

Ni udhaifu kumpiga mwanamke. Ni ujinga. Ni immaturity.

Sikujua...
 
Last edited by a moderator:
Is it Ennie? None of us is married yet for all I know.

mwallu kwa niaba yake (na wanaume wengine wote waliowahi kuwapiga wapenzi/wake zao) ...kwako na kwa wanawake wengine waliyopitia uliyopitia naomba MSAMAHA ni ujinga ulitujaa. Hatukujua njia tofauti za kusuluhisha tofauti zetu.

Ni ujinga wetu kudhani ukimpiga mwanamke basi ataona unampenda na kumuonea wivu.

Ni ujinga..hatukujua.

Tuwieni radhi...na mtusamehe.

NB: Teddy wewe nisamehe na kunipokea tena, nimejifunza mpenzi.

Kha shem hadi wewe? Ni kosa kama makosa mengine shem. La maana ni kujitambua na kubadilika shem.

Ni kosa kama ubazazi kwa babu Asprin..tusameheane!

Bado mkuu....

Nikipata jibu nitakuambia mkuu Horseshoe Arch. Kwa sasa najua namtaka Teddy tu. Wengine wote kwake hawafui dafu!!!

Unampiga mtu hadi unamjeruhi shem...... Kweli??
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaa yaani kumbe hata wewe ilipitia ukatili huu? Pole sana Mama. Nilijiapisha kuwa kamwe sitakaaa nimpige mke wangu achilia mbali mpenzi
Everyone has a story to tell. ..am glad it is in the past Elli...maana kwa sasa najiona I was soo dumb
Is it Ennie? None of us is married yet for all I know.

mwallu kwa niaba yake (na wanaume wengine wote waliowahi kuwapiga wapenzi/wake zao) ...kwako na kwa wanawake wengine waliyopitia uliyopitia naomba MSAMAHA ni ujinga ulitujaa. Hatukujua njia tofauti za kusuluhisha tofauti zetu.

Ni ujinga wetu kudhani ukimpiga mwanamke basi ataona unampenda na kumuonea wivu.

Ni ujinga..hatukujua.

Tuwieni radhi...na mtusamehe.

NB: Teddy wewe nisamehe na kunipokea tena, nimejifunza mpenzi.

Kha shem hadi wewe? Ni kosa kama makosa mengine shem. La maana ni kujitambua na kubadilika shem.

Ni kosa kama ubazazi kwa babu Asprin..tusameheane!

Bado mkuu....

Nikipata jibu nitakuambia mkuu Horseshoe Arch. Kwa sasa najua namtaka Teddy tu. Wengine wote kwake hawafui dafu!!!
Once a beater. ......
 
Last edited by a moderator:
Ni 'Nyangokolwa' bana. Huwezi ukawa unayaharibu majina ya kwetu ilhali Mnyatunzu Chapa Ya Ng'ombe nipo hapa!

Ni 'Gamboshi' na siyo Gambosi!

Na Bariadi iko mkoa wa Simiyu. Haipo tena Shinyanga.

Kumbe nawe ni nkwela wangu Nyani Ngabu...nadhani utakuwa unamfahamu Teddy basi. Nisaidieni na mimi nilete ng'ombe kwao.

Nakumbuka alikuwa akinitania kuwa kwa weupe wake ni lazima nipeleke ng'ombe 100 kwa baba ake.

Ahhhahhha ni sawa nimeng'atwa na nyoka kila nikiskia mtikisiko wa majani nakimbia 🙂🙂

Sasa kwa story yangu tu ndo uhisi umeng'atwa mamii. Tusifanyiane hivyo.

Unampiga mtu hadi unamjeruhi shem...... Kweli??

Shem kuna mwenzio aliwahi kuniambia, 'heri kuumizwa mwili kuliko anayeumiza moyo'

Hatahivyo najutia kosa langu shem naomba nisamehewe!

Watu wazima gfsonwin cacico snowhite Kaunga Kongosho mje mniombee msamaha huku.
 
Last edited by a moderator:
mhm!!! kweli miji ya watu kuna viatu!!

Na asemaye yapo mbali kumbe yapo karibu

yanafumukana kisha yanabaki hayana makapi Lol!!

pole bestito!!
 
Back
Top Bottom