Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Ni 'Nyangokolwa' bana. Huwezi ukawa unayaharibu majina ya kwetu ilhali Mnyatunzu Chapa Ya Ng'ombe nipo hapa!



Ni 'Gamboshi' na siyo Gambosi!

Na Bariadi iko mkoa wa Simiyu. Haipo tena Shinyanga.



Nyana bhe....! Lentwe lyako!

Ngishage onsazi ng'wiyo Kiranga wo miso gaza!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa

Wandya obosaji bhoko ! Le wanga lyako!

Nena wanga gunguno nale na masala minge.

Ubhebhe elentwe lyako ledi gete ali a masala nduhu.

L..shindo loko hangi.:biggrin1:

Btw, nipo hapa Sima Shule ya Msingi kwenye ki grocery cha binamu nazimua Balimi. Karibu.
 
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

interface???????

mhm!! mbona mm huwaga ukitoka pale home kwako
katika lile geti jeusi nakuonaga jamani?
Acha hizo wewe, unaniogopa kwani mi simba?

Halafu utaniogopaje wakati tuna interface kupitia mtandao?
 
Back
Top Bottom