Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Duuuuuh, hiii hadithi kiboko. Funzo kwa wababa

Utashangaa kugundua wanaofanya haya ni vijana tu tena wanaojiita wasomi. Kijana ambaye hata ndugu wa binti hawamjui, anajiita boyfriend! Hao ndo wanaoongoza kwa upuuzi huu. Hao wa kwenye ndoa ni wachache sema tu tafiti hazijawahi kufanywa.

Niliwahi kumuuliza mtu wa ustawi wa jamii akasema hawana takwimu. Ila Katika wadada 10 niliowauliza kama wameshawahi kuwa physically/emotionally abused na mwanaume, 8 walikiri ndiyo. It's sad...

Sijasoma,
ila title ni nzuri sn

Jitahidi uisome mkuu...labda utajifunza jambo...
 
Utashangaa kugundua wanaofanya haya ni vijana tu tena wanaojiita wasomi. Kijana ambaye hata ndugu wa binti hawamjui, anajiita boyfriend! Hao ndo wanaoongoza kwa upuuzi huu. Hao wa kwenye ndoa ni wachache sema tu tafiti hazijawahi kufanywa.

Niliwahi kumuuliza mtu wa ustawi wa jamii akasema hawana takwimu. Ila Katika wadada 10 niliowauliza kama wameshawahi kuwa physically/emotionally abused na mwanaume, 8 walikiri ndiyo. It's sad...
.
Ni sad story kwa kweli, na usemacho ni kweli kabisa, many women are victims ya hii kitu.
Huo ndio ulimwengu tulionao kwa sasa. Ila mabadiliko ni muhimu
 
Mkuu Miaghay wakati naenda kujiandikisha kwa mwenyekiti wa mtaa niliandikiwa hivi (W) Bariadi (Tarafa) Ntuzu (Kata) Nyangokolwa.

Labda wewe mwenyeji waweza kunijuza kama ni mjini au kijijini. Kamwe siwezi kujitia ujuaji kwenye miji ya watu.

Nyangokolwa..?

Nina ndugu zangu wengi sana huko!
 
Back
Top Bottom