mbalu
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 550
- 242
Nkwela Mentor nashukuru kwamba mwallu na kaka yangu Nyani Ngabu watapata pahala pa kutembelea siyo kukaa Ntuzu kila siku na muuza ubuyu
Last edited by a moderator:
Teddy!!!!!!!! sijui kwa nn kina teddy ni wazuri sana na shape hio naiona kwa my sis
dah! pole. nakuonea huruma kwa sababu tu umejutia, ila mtoto mzuri teddy nahisi umemwachia kidonda kibaya sana. Kamuacha wa ubani wake kaja kwako kaambulia vipigo na matusi. Sijui kama atakuja kupenda tena kwa moyo mmoja maskini. Na akilazimika kupenda sidhani kama atakuwa tena mnyenyekevu kama alivyokuwa kwako. Ndo ushamharibia mwanaume mwenzio mke hivyo.
Teddy aka Teresia ....aaaah!!!!
Binafsi sidhani kama kipigo kinamfanya mwanamke akuogope na kukuheshimu au akutii, sanasana inaleta chuki tu! Hapo ndipo ulipokosea, na ningekuwa Theresia sigeuki nyuma
Is it Ennie? None of us is married yet for all I know.
mwallu kwa niaba yake (na wanaume wengine wote waliowahi kuwapiga wapenzi/wake zao) ...kwako na kwa wanawake wengine waliyopitia uliyopitia naomba MSAMAHA ni ujinga ulitujaa. Hatukujua njia tofauti za kusuluhisha tofauti zetu.
Ni ujinga wetu kudhani ukimpiga mwanamke basi ataona unampenda na kumuonea wivu.
Ni ujinga..hatukujua.
Tuwieni radhi...na mtusamehe.
NB: Teddy wewe nisamehe na kunipokea tena, nimejifunza mpenzi.
Kha shem hadi wewe? Ni kosa kama makosa mengine shem. La maana ni kujitambua na kubadilika shem.
Ni kosa kama ubazazi kwa babu Asprin..tusameheane!
Bado mkuu....
Nikipata jibu nitakuambia mkuu Horseshoe Arch. Kwa sasa najua namtaka Teddy tu. Wengine wote kwake hawafui dafu!!!
Nimejifunza kutokana na makosa Jullie Z ndiyo maana nikaomba msamaha. Bado nampenda Teddy ujue usinifitini kiivyo huenda anasoma hapa!!!
"Nikweli ndugu nimechunga sn Mbuzi za babu"
Umeelewa?
We unajishaua tu.
Ni kweli huniwezi.