Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Kwaheri Bariadi, kwaheri Teddy

Mentor hongera sana kw akipaji hiki ulivho nacho na naamini unakifanyia kazi aise kwa maisha ya baadae.
Bariadi pamechngamka sana kwa sasa aise wala sio kama zamani
 
Last edited by a moderator:
Unavyousifu uzuri wake leo!!
Nini kilikupa upofu usiuone ulipokuwa unamshushia kipondo kila uchao?
 
siku nyingi ndipo nimeizoea mimi sikutengi ila naogopa yasijetokea hayo hapo juu bure

Hayawezi tokea Mrs. Dago ninejifunza kutokana na makosa...

Unavyousifu uzuri wake leo!!
Nini kilikupa upofu usiuone ulipokuwa unamshushia kipondo kila uchao?

Mh Ennie ni ujana tu!!!

Nilijua ndo inaleta heshima....nilidhani ndiyo inayompa kuniogopa. Niliamini ni kutokana na upendo uliopitiliza na wivu. Ila sasa nimejua lilikuwa ni kosa...
 
Last edited by a moderator:
Mentor wimbo huu alinifundisha Mama yangu mzazi miaka mingi iliyopita wakati najifunza kiingereza, alinisaidia sana na sijui kwanini Mama aliupenda sana wimbo huu, sasa Mama yuko 80 plus na huwa namuimbia wimbo huu just the same alivyokuwa ananiimbia.


"Jamaica Farewell"

Down the way, where the nights are gay
And the sun shines daily on the mountain top
I took a trip on a sailing ship
And when I reached Jamaica
I made a stop.

But I'm, sad to say I'm on my way
Won't be back for many a day
My heart is down, my head is spinning around
I had to leave a little girl in Kingston town.

Sounds of laughter, everywhere
And the dancing girls swing to and fro
I must declare my heart is there
Though I've been from Maine to Mexico.

But I'm, sad to say I'm on my way
Won't be back for many a day
My heart is down, my head is spinning around
I had to leave a little girl in Kingston town.

[Instrumental]

Down at the market, you can hear
Ladies cry out while on their heads they bear
'Akey' rice, salt fish are nice
And the rum is good any time of year

But I'm sad to say I'm on my way
Won't be back for many a day
My heart is down, my head is spinning around
I had to leave a little girl in Kingston town

But I'm sad to say I'm on my way
Won't be back for many a day
My heart is down, my head is spinning around
I had to leave a little girl in Kingston town...


 
Endelea kuomba Mungu
its very possible ilibidi umpige ili upate fundisho la maisha

I pray that she forgives and come back to your arms.....
 
Hayawezi tokea Mrs. Dago ninejifunza kutokana na makosa...



Mh Ennie ni ujana tu!!!

Nilijua ndo inaleta heshima....nilidhani ndiyo inayompa kuniogopa. Niliamini ni kutokana na upendo uliopitiliza na wivu. Ila sasa nimejua lilikuwa ni kosa...


Umekua sasa!!!
too bad its a bit late!!!
 
ghafla tu nimekumbuka vipigo nilivyowahi pokea kipindi fulani cha maisha yangu

naskia hasira

ila...Thank God yashapita
Ayaaaaa yaani kumbe hata wewe ilipitia ukatili huu? Pole sana Mama. Nilijiapisha kuwa kamwe sitakaaa nimpige mke wangu achilia mbali mpenzi
 
Mkuu Mentor rudi Bariadi, pamekua makao makuu ya mkoa wa Simiyu sasa,pamechangamka sana.
Pia kuna hoteli nyingine zaidi ya Rogmark zimeota (GnK, Malaika)
Pia barabara ya lami toka Bariadi to Lamadi inatengenezwa,watu chekwachekwa,mji unazizima!
 
Ni kweli nilikuwa na tatizo ila sasa nimejitambua mkuu...nahitaji msamaha wa Teddy tu kwa sasa sio masimango tena!

Cc: tinna cute

Kwani bado hujampata wa kuchukua nafasi ya teddy? Miaka yote iyo ?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Polisi: “Muiseke wangu Nyamughe" Leo ni Tedy...Najaribu kufikiria ni nini tunatafuta kwa viumbe hawa maana hata umpate the said Cleopatra bado ukikutana na Sikitu wa Katavi hutakosa sifa shawishi zaidi,japo ni kwa muda mfupi!
 
Back
Top Bottom