ila nikitaka kukuweza nitakuweza tu tena kule ca's
baasi nakuachia kiaina tu hapa jf?
"ca's" ndo wapi?
Huwa unajikakamua sana kujifanya unanijua lakini wapi! Hongera kwa jitihada lakini.....
shit happens kuna kipindi hata mimi nilikuwa nampiga my ex,aliponiacha ndo nikagundua she was everything i ever wanted.it was sort of a wakeup call ya kuevaluate my life.il never hit mtu tena but ndo hivyo yule nishampoteza.... .
Pole mkuu, huyo Teddy yupo na mie, anakulaani huyo..., ukitaka apoteze appetite ya kula mkumbushe habari za Mentor, anakuitwa Bwana Mikanda a.k.a mgambo!!
Nice story yenye mafunzo
Haha story mzuri sana ila yle jamaa wa bugando aliumia sana wasalaam Mentor
akina teddy ni wazur kweli kweli
Teddy aka Teresia ....aaaah!!!!
"ca's" ndo wapi?
Huwa unajikakamua sana kujifanya unanijua lakini wapi! Hongera kwa jitihada lakini.....
jina la wifi yng eeeeenh?????
wewe unakataa bure mm nakufahamu sana sema basi tu..........
acha nikupe uhuru zaidi hapa ili usijekuniona ukasema
haaaaaaa kumbe ni wewe fulani nachat nawewe kule jf?
hhalafu ikawa issue bure mpaka tusiweze kusalimiana wakati tukiwa mtaa mmoja best
ulivyonichunia kama sipo vile..........yani!!
Nyani Ngabu are you seriously arguing with her? Cmon bro...
Aiseee this makes me sad mkuu...am really sorry.
Natumai atanisamehe siku moja, hata kama hatokuwa na mimi.
bazaziiiii thanks bro! Usifanye hivi nlivyofanya mm kaka ako kwa miss neddy sawa! Au we uko na nani..huwa nakuchanganya na Excel
I can only imagine. Kwangu ilikuwa conquest...
My apologies to him too.
Na ww ni Teddy nini MankaM??!
Mweh mweh....ntaambiwa hayanihusu ngoja nipite hivi