Kwa Watumishi wa Umma: Kipi Bora Kwako Kama Mwajiriwa? Uchukue Mkopo Mkubwa Kwa miaka 10 au Uchukue Mkopo Kidogo Kidogo?

Kwa Watumishi wa Umma: Kipi Bora Kwako Kama Mwajiriwa? Uchukue Mkopo Mkubwa Kwa miaka 10 au Uchukue Mkopo Kidogo Kidogo?

Mkopo unavyokua wa muda mrefu na gharama yake inakua kubwa sana.

Kuwa makini unaweza jikuta unaulipia riba sawa na kiwango cha mkopo ulichokopa. Hebu chukua hela unayotaka kurejesha halafu wekeza kila mwezi kwenye mifuko yenye compounding interest.

Fanya kwa hiyo miaka yako hiyo 10 uone utapata TZS ngapi mwisho wa siku. Sema nimeshiba sana daku, ningekuwekea hesabu zote mbili za mkopo na uwekezaji
 
Mkopo unavyokua wa muda mrefu na gharama yake inakua kubwa sana. Kua makini unaweza jikuta unaulipia riba sawa na kiwango cha mkopo ulichokopa. Hebu chukua hela unayotaka kurejesha halafu wekeza kila mwezi kwenye mifuko yenye compounding interest. Fanya kwa hiyo miaka yako hiyo 10 uone utapata tsh ngapi mwisho wa siku. Sema nimeshiba sana daku ningekuwekea hesabu zote mbili za mkopo na uwekezaji
Ukiacha kuchukua ni hasara mara 2
 
Kuna kiwango cha pesa inabid kibak kweny mshahara...
Kifupi hyo pesa huwez pata lkn hoja ya kuchukua mzgo wte alaf ukafanye kitu ni nzuri
Hilo la 1/3 linajuoikana ,nachukua pesa yote inabakia hiyo inavyotakiwa kubakia
 
Una uhakika?
Ivyo ndivyo Compound interest in 10 years inavyofanya kazi.

And vice verse is true

Ukiweka 60,000,000 leo M-wekeza au platform nyengine kama izo, huku ukipewa riba ya 10%-17%
Baada ya miaka 10.. Balance yako itasoma mara mbili ya kile ulichokiweka

Yan utaopoa 120,000, 000

Ukikopa utapopolewa 120M
Ukiwekeza utaopoa 120M

Uamuzi ni wako
Screenshot_20260223-091354.jpg
 
Back
Top Bottom