Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,163
- 123,276
Yes nimejaribu ila kama kawaida haijafanya kazi isipokuwa kwenye video recorder pekeeBasi tu unaifungua, then simu inafaa. Umejaribu kutumia mic ulipoifungua?
Yes nimejaribu ila kama kawaida haijafanya kazi isipokuwa kwenye video recorder pekeeBasi tu unaifungua, then simu inafaa. Umejaribu kutumia mic ulipoifungua?
Ngoja nifanye hivyo nione itakavyokuwaUnashauria kwa simu za Google Pixels baada tu ya ku update fanya kureset/factory format ili zile updates zitake changes... Nmeona wengi wanadai hii njia inasaidia sana endapo ukimaliza ku update afu simu ikazingua fanya kubackup vitu muhimu kisha reset itakaa sawa... Ukiona inazingua bado just roll back version ya nyuma/downgrade OS.
NikweliNaskia haiingii maji ni kweli?
Mkuu nimei factory reset lakini bado tatizo lipo vile vileUnashauria kwa simu za Google Pixels baada tu ya ku update fanya kureset/factory format ili zile updates zitake changes... Nmeona wengi wanadai hii njia inasaidia sana endapo ukimaliza ku update afu simu ikazingua fanya kubackup vitu muhimu kisha reset itakaa sawa... Ukiona inazingua bado just roll back version ya nyuma/downgrade OS.
Google Pixel ganiKaribu Mkuu iyo ni Google pixel apo ni usiku kitu inatoa hadi Nyota.
View attachment 2379193
Naskia haiingii maji ni kweli?
Rudi version ya nyuma mkuu au subili security patch kama wanarelease..Mkuu nimei factory reset lakini bado tatizo lipo vile vile
Nime experience hili tatizo. Sijui navyo update mara kwa mara ile app yao ya call?! Maana mwanzoni sikuwahi kupata hiyo changamoto!Ok nashukuru kwa respond yako ya haraka ila kabla sijaenda kwenye hiyo link nilikuwa nataka nikukumbushe kuwa hiyo microphone ambayo inakata sauti wakati wa maongezi ya simu, kuna muda inajirudi inafanya kazi vizuri tu
Na hili nimejaribu kuangalia kwenye community ya pixel nimeona wengi wakilalamika.
Kuna baadhi walipewa zile secret code walivyoingiza ika fix lakini wengine ikagoma
Dah unyama sana nataman nizipitie zote 3xl na 3axlNi kweli lakini lazima iwe mpya haijawai kufunguliwa kwenye toleo la 3 series pixel 3xl waliipendelea sana japo ilikuwa ya kwanza then ikafata 3axl 3xl kwanza ina kioo safi p oled screen size kubwa resolution nayo
Battery 3400 mah lakini linakaa sana kikubwa walicho uwa ndo hiyo water resistanc
Ukienda chin plaza utauziwa 260,280 ila machimbo adimu 230k
Ulifanyaje mpaka ukaweza kulitatua?Nime experience hili tatizo. Sijui navyo update mara kwa mara ile app yao ya call?! Maana mwanzoni sikuwahi kupata hiyo changamoto!
Ni kama inakuja na kuondoka. Ila jaribu ku update hiyo call app mimi kwa sasahiv haisumbui tena japo bado naendelea kuangalia kama itatokea tena nita unistall updates zote kwenye call app irudi kama zamaniUlifanyaje mpaka ukaweza kulitatua?
Eh bhana hizi simu kusema kweli hazichoshi kutumia kioo kimenyooka sana ,4xl nliiona iko 🔥3xl ina kioo kikali kipo swa na cha 4xl
Yah niliicheck sana izo comparison ila pixel 3axl Hana maajabu sana ukicompare na 3xl labd betri tuNenda gsmarena ukaangalie comparison.
Tatizo la hii simu yangu ni kwamba hata niki test kwenye audio recorder bado inazinguaNi kama inakuja na kuondoka. Ila jaribu ku update hiyo call app mimi kwa sasahiv haisumbui tena japo bado naendelea kuangalia kama itatokea tena nita unistall updates zote kwenye call up irudi kama zamani