Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 6,978
- 10,368
Sawa sawa mkuu ,na kuhusu charging pixel 3a kujaa kw mda mfupi haina madhara?3a 4a sio IP rated kabisa. Yaani ata bafuni usiende nayo.
Ila 3 na 4 ni waterproof. Ip68 rated.
Kwahiyo una sacrifice kimoja una chukua kingine.
3a unapata headphones jack, battery kubwa, ila 3 unapata wireless charging battery dogo, camera mbili selfie, no headphones jack, premium material.
sana