Kwa watumiaji wa Google Pixel

Kwa watumiaji wa Google Pixel

Bora itoke 7 tuanze kuangaika na 6 maana itaanza kupungua bei
🤣🤣🤣

Mi nilianza 3 na 3a sahivi nipo 4, mwakani January napiga 5 December 6 Pro.

Sema Google kwenye hardware wanafail. 3 battery ilivimba, 3a sio waterproof iliingia maji yaan mvua kdg sana, 4 ipo poa sema battery dogo sana bora uende 4a.
 
Hardware zao hata muonekano hazishtui sana kwa 3 mpaka 5 ila 6pro ni tamu aisee ile kitu ni tamu ina muonekano premium...
 
Mi nilianza 3 na 3a sahivi nipo 4, mwakani January napiga 5 December 6 Pro.

Sema Google kwenye hardware wanafail. 3 battery ilivimba, 3a sio waterproof iliingia maji yaan mvua kdg sana, 4 ipo poa sema battery dogo sana bora uende 4a.
Ugonjwa wao ndo huo battery
 
Duh ulivosema nimeenda kusoma soma. Sipo vizuri kwenye specifications lakini najua itakua moto.

Me uchumi mgumu uwa naacha flagship tatu zinipite nakuja nyuma mdogo mdogo.

Nimeshift from iPhone 11 to P4, naona kabisa kwenye camera P4 ni nuksi. Kwa nusu bei.
Upo kama Mimi mkuuu imekuaje umehama kwenye 11 mkuu
 
Nilitoka Pixel 3a nikaenda 11 ndio nimekuja 4.

3a nilinunua 350 enzi zile (mwezi wa 11 au 12 mwaka jana) iphone 11 nikanunua Mil 1.2 (Mwezi wa 2 au 3) na Pixel 4 nimenunua 520 Mwezi wa 8.

Kusema kweli thamani ya Mil 1 na zaidi sikuiona. Especially kwa mimi ambae kifaa pekee cha Apple ni iPhone.

Ila kama una airpods, Apple watch, Mac, Apple TV etc ndio iPhone itafaa.

Pia kwenye picha, kusema kweli iPhone 11 bado sana kwa Pixel 4. Na screen ya iPhone 11 sio nzuri ata compare na iPhone X. Kuna watu uwa wanasema iPhone 11 ni upgrade ya iPhone XR na sio XS.

Sema iPhone kingine jiwe, ukiiangusha ina possibility kubwa ya kusurvive ila huyu Pixel naogopa nahisi akienda chini, msiba.
 
Ni kweli pixel ukiangusha msiba 11 ni ngumu sana iphone x kioo chake ni Super Retina OLED, HDR10 while xr ni lcd kama hivi vya Tecno simu ni kioo Mimi kwasasa siwez kutumika simu yenye lcd display hazina mvuto kabisa napenda AMOLED,OLED,au p.oled nna miaka Sasa situmiii simu zenye display za lcd
 
🤣🤣🤣

Mi nilianza 3 na 3a sahivi nipo 4, mwakani January napiga 5 December 6 Pro.

Sema Google kwenye hardware wanafail. 3 battery ilivimba, 3a sio waterproof iliingia maji yaan mvua kdg sana, 4 ipo poa sema battery dogo sana bora uende 4a.
Maji kidogo kivp uliiloweka mkuu?
 
Maji kidogo kivp uliiloweka mkuu?
3a 4a sio IP rated kabisa. Yaani ata bafuni usiende nayo.

Ila 3 na 4 ni waterproof. Ip68 rated.

Kwahiyo una sacrifice kimoja una chukua kingine.

3a unapata headphones jack, battery kubwa, ila 3 unapata wireless charging battery dogo, camera mbili selfie, no headphones jack, premium material.
 
Back
Top Bottom