Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 434
- 654
Ila vipara pia navyo vina vichwa na vichwa,sio kila mtu anaekaa poa na kipara bro!!!That's for sure
Ila vipara pia navyo vina vichwa na vichwa,sio kila mtu anaekaa poa na kipara bro!!!That's for sure
Mkuu muonekano wake ni mzr kuliko hata nyweleIla Mimi bora kuvaa kofia kuliko kuvaa wigi .
Weka picha ya mbongo aliyeweka hiyo huduma.Mkuu muonekano wake ni mzr kuliko hata nywele
Ni kweli bro kama mimi kichwa changu akipendez na kipara so kiukweli siwez baki na kipara wacha nivae wigi tu umri wa ujana ukipita bac ntakaa na kiparaIla vipara pia navyo vina vichwa na vichwa,sio kila mtu anaekaa poa na kipara bro!!!
Mbongo sijamuona labda wanaijeria huko ndio nilibahatika kuona video zao hii huduma ni mpya kwa tanzania bado aijaeneaWeka picha ya mbongo aliyeweka hiyo huduma.
Mwanaume anapendeza ili awe pambo kwa nani?Fedheha ipi yani mi sielew kwamba mwanaume atakiwi kupendeza
Okay kamatilia hiyo fursa.Mbongo sijamuona labda wanaijeria huko ndio nilibahatika kuona video zao hii huduma ni mpya kwa tanzania bado aijaenea
Sema pia kuvaa wigi kunaweza kukuasili kisaikolojia Kwa kujua unafake,hii kitu ya kufake nadhani wanawake wanaimudu zaidi kuliko wanaume mkuu!!!Ni kweli bro kama mimi kichwa changu akipendez na kipara so kiukweli siwez baki na kipara wacha nivae wigi tu umri wa ujana ukipita bac ntakaa na kipara
Huo nduo ushamba mlionao watanzania sasa kama utaki kupendeza why uvae nguo, why upake mafuta na kadhalika tembea hivo hivo mchafu ndio nitaielewa point yakoMwanaume anapendeza ili awe pambo kwa nani?
Huo ni upumbavu wako wewe kimaMwanaume kushindwa kujikubali kias cha kuvaa wigi ni upinde. ...
Ndo mana Mama anataka akae ikulu kwa 15 yes sabab wanaume hamjielewi.
Dah yani ukiwa na kipara unakosa confidence? Kweli jaman!Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi.
Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo.
I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa confidence.
Mimi sio muhanga wa tatzo ila kuna viashiria fulani nimeanza kuviona so nimejaribu kutafuta solution ya tatizo nimekosa zaidi labda ukapandikize ambapo ni gharama kubwa sana sio chini ya milion tatu ambavyo kwa vipato vyetu sio rahisi kushika hiyo pesa.
So katika ufiti wangu nimefanikiwa kupata njia bora na salama ambayo ni kuagiza wigs za kiume kutoka nje baada ya hapo utadirectiwa kwenye barbershop maalum ambapo utaweza kufanya installation na tayari utakuwa umerudisha comfidence yako. Najua hii changamoto imewakumba wengi hivyo nawakaribisha kwa maswali kwa anaehitaji ufafanuz kuhusu hii huduma. Mungu sio mjinga kutupatia nywele sasa kwanini tukubali kuishi na vipara angali bado vijana
potelea mbali mkuuSema pia kuvaa wigi kunaweza kukuasili kisaikolojia Kwa kujua unafake,hii kitu ya kufake nadhani wanawake wanaimudu zaidi kuliko wanaume mkuu!!!
Kaka inategemea na kichwa sio wote wanapendeza na kiparaDah yani ukiwa na kipara unakosa confidence? Kweli jaman!
Kwamba mnaogopa vipara sana?Weka picha ya mbongo aliyeweka hiyo huduma.