Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,546
- 6,502
- Thread starter
- #21
That's for sureDawa ya upara ni kunyoa kipara
That's for sureDawa ya upara ni kunyoa kipara
Siamini kwenye dawa ya kuotesha nywele mkuu zaidi ya kupandikizaa ambayo ni gharama sanaKWA nini solution isiwe kusiotesha. Naona Wayne Rooney alifanikiwa kukisakafia kupata chake.
Nilimuuliza daktari bingwa wa ngozi akasema hata yeye ameshindwa kukitoa, unaamini gani KWA wanaosema wanadawa za kuotesha nywele
Huo ni mtazamo wake na kila mtu ana muonekano wake na mapendekezo yake usitake tufanane chiefSiamini kama huu uzi umeadnikwa na na real man; serious?
Nina viashiria vya upara, na mvi zimetoka kabla ya muda wake, nywele za mbele zimeota mvi na kipara pia.
But sipaki black wala starajii kufanya make up ya aina yoyote. Wakati ni ukuta na najikubali hivyo hivyo.
Upo sahihi kakaSawa,
Usifunge mlango wa kufuatilia na usihitimishe mapema Mana Kuna Muda msaada ni mtego kuzid tatizo.
Na wanaume wanaanza kuvaa wigi sasa.Wigi la kiume?
Daa!!! Dunia Iko spidi kali
Wengine tuna vichwa kama treni mkuu atupendez na uparanyoeni tu vipara mbona tunapenda
Naelewa chief but one of the worst insecurity ni kutokujibali. Jikubali tu watu wanakukubali hivyo hivyo, Mond watu huwa wanamcheka ana miguu mibaya ila hajawahi kuificha. That is the manhood chief.Huo ni mtazamo wake na kila mtu ana muonekano wake na mapendekezo yake usitake tufanane chief
Imagine, fedheha sanaNa wanaume wanaanza kuvaa wigi sasa.
Iko kasi sana.
Kwani mwanaume ndio atakiwi kupendeza huo ushamba toeni na muonekano ndio kila kitu acheni kukariri ujingaNa wanaume wanaanza kuvaa wigi sasa.
Iko kasi sana.
Fedheha ipi yani mi sielew kwamba mwanaume atakiwi kupendezaImagine, fedheha sana
As long as ni personal choice.Imagine, fedheha sana
Huo ni ushamba wako halafu pia nimetoa advice kwa atakaependa na ajalazimishwa mtuNitakaa na kipara changu live. Kuweka wigi kichwani kwangu never. Ni utumwa fulani. Kwani ni laana kukaa na kipara? Haĺafu utakapokuwa unaenda saluni za uswazi lazima wajue kuwa wewe ni shoga!
Sawa hicho ni chakoTafuta hela kipala sio changamoto mimi ninacho na hakinisumbui
Mkuu Uzi uishie hapa🙌Dawa ya upara ni kunyoa kipara