Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,252
- 1,095,573
Una weekend nzuri mno,hwarang ipo vizuri
Omo omo omo...
Ndio nimeimaliza What’s wrong with Secretary Kim. Ni drama nzuri sana,sana.
Hapa ndio naona faida ya ule msimamo wangu wa kutokuangalia ongoing drama maana kwa jinsi nilivyoipenda ningepata wazimu wa kusubiri.
Ep 10 ndio the best kwangu, nilicheka zaidi ya mwendawazimu! Nimempenda sana Ms. Bong Se Ra na yule Mr. Hero wake hahaaaaa
Yule bonge nae ana vituko jamani!
Sasa ndio naianza Hwarang...