Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hapa

one spring night drama

Na hii

Abyss

Najutia MB zangu. Hizi movie za kutumia akili kubwa sizipendi uwiii zipo slow ,mihuzuni kibao,maisha wanayacomplicate wenyewe na yanawamix vya kutosha.
 
Hawa watu wana maisha ya stress sana na soju zao wanavyofakamia sasa.
Kang Ji Hwan Admits To All Charges In Sexual Assault Case
On July 15, Kang Ji Hwan’s legal team issued the following statement:

Kang Ji Hwan was starring in the drama “Joseon Survival,” however he has canceled all activities following his arrest. It was announced on July 15 that actor Seo Ji Suk will be taking over his role.
View attachment 1154174
 
Hawa watu wana maisha ya stress sana na soju zao wanavyofakamia sasa.
ila jamaa inaonekana dhihiri alidhamiria kuwafanyia vitendo viovu wale mabinti.
huwezi kutoka floor ya tatu unapolala hadi ya pili wanapolala wasichana bila ya kuongozwa na ashki za kipumbavu.
nimemtoa thamani bwana kang ji hwan.
kuhusu stress upo sahihi celebrities wengi maisha yao na mikataba yao ya kazi ni kizungumkuti.
 
Inawezekana ni kawaida yake sema mabinti wengine waoga kufungukia ishu kama hizi hasa kwa staa mkubwa kama yeye.

Hawa mastaa wangejifunza kuridhika kwa kile wakipatacho badala ya kutegemea makubwa kuliko uwezo wao,hapo wataziepuka stress zisizo na maana

Staa wetu bongo kudaka visenti senti kwa njia za mkato huyoo kakurupukia event muhimu kaigeuza show ya akina werrason kumwaga pesa kwa waandishi akidhan nao ni mashabiki wake. Siku akifulia stress zinamuandama na majuto juu
ila jamaa inaonekana dhihiri alidhamiria kuwafanyia vitendo viovu wale mabinti.
huwezi kutoka floor ya tatu unapolala hadi ya pili wanapolala wasichana bila ya kuongozwa na ashki za kipumbavu.
nimemtoa thamani bwana kang ji hwan.
kuhusu stress upo sahihi celebrities wengi maisha yao na mikataba yao ya kazi ni kizungumkuti.
 
Hear me, my people!
Mt. Dongmo is surrounded by Janggwang and Jaereong mountain range to the northwest, and Buiryeong and Noiryeong to the southwest and southeast like a protective wall. Rich fertile soil stretch for hundreds of miles in all directions, and in the center gently flows Mokdan River, a tributary of Sogwa River.

I dare say it's perfect place chosen for us by the gods. Now we will go to the blessed land and declare a new state. We will bear children and lay down our roots and live out our cherished dreams! Take the first step with pride and strength. Each footstep we take will leave a lasting mark in history. We will remembered as winners.

Dae Jo Yeong

Maneno ya Great General Dae Jo Yeong katika halakati za kulikomboa taifa la Goguryeo ambalo liliangushwa mwaka 608. Maneno hayo utayapata katika episode ya 121.
 
I have not for a moment given up on my dream of reviving the kingdom since the day Goguryeo fell. It took thirty years for one man's dream to become a dream of all people. The dream that would've ended only a dream has become a reality on this land because of all of you. If you, the true heroes of this land call upon me to lead the new regime. I will regard it as divine command and accept the challenge. I will be your king.

Dae Jo Yeong.

Maneno ya Dae Jo Yeong baada ya raia kumtaka kuwa mfalme, hiyo ilitokea baada ya kufanikisha doto yake ya mda mrefu ya kuifufua Goguryeo mpya. Utayapata kwenye episode ya 132.
 
Daah hiyo dae jo yeong sina mpango wa kuitazama sio kwa urefu huo
I have not for a moment given up on my dream of reviving the kingdom since the day Goguryeo fell. It took thirty years for one man's dream to become a dream of all people. The dream that would've ended only a dream has become a reality on this land because of all of you. If you, the true heroes of this land call upon me to lead the new regime. I will regard it as divine command and accept the challenge. I will be your king.

Dae Jo Yeong.

Maneno ya Dae Jo Yeong baada ya raia kumtaka kuwa mfalme, hiyo ilitokea baada ya kufanikisha doto yake ya mda mrefu ya kuifufua Goguryeo mpya. Utayapata kwenye episode ya 132.
 
Great Conqueror unaambiwa lile tukio la mlima kuanguka pale Ansi Fortress kati ya vita ya Goguryeo na Tang ni la kweli. Yaani director alicheza lile tukio liwe la uhalisia kabisa.

Imenichukua mwezi mmoja na siku kadhaa kumaliza kutizama drama hii ya Dae Jo Yeong. Nashukuru nimebudurika na kubwa zaidi nimejifunza mengi kuhusu huyu kiumbe aliekua akiitwa Dae Jo Yeong.

Mkuu naona saizi upo na kitu cha Emperor Wang Guhn, nami naamishia majeshi yangu kwenye hiyo kambi twende sawia kabisa. Vipi kuhusu kile kitengo chetu cha comedy nani kahusika humo ndani maana kwenye Dae Jo Yeong kulikuwa na watu kama Heuk Sudol, The Wolf Man, Tungso bila kumsahau Hongpei pamoja na General wake hawa jamaa maisha yao ilikuwa burudani tosha.
 
Baba humo ndani, hakuna mchekeshaji ni mwendo wa kauzu tu!.
 
Omo omo omo...
Ndio nimeimaliza What’s wrong with Secretary Kim. Ni drama nzuri sana,sana.
Hapa ndio naona faida ya ule msimamo wangu wa kutokuangalia ongoing drama maana kwa jinsi nilivyoipenda ningepata wazimu wa kusubiri.
Ep 10 ndio the best kwangu, nilicheka zaidi ya mwendawazimu! Nimempenda sana Ms. Bong Se Ra na yule Mr. Hero wake hahaaaaa
Yule bonge nae ana vituko jamani!
Sasa ndio naianza Hwarang...
 
Umechelewa kuiangalia. Park Min-young yuko vizuri.
 
Mimi nilifuatilia film ya kikorea inaitwa Are you human, niliipenda sana ngoja nitajitahidi kutafuta za hao wakorea, pia kuna moja inaitwa Korean Odyssey sijawahi kuielewa mwenye kuielewa anijulishe, maana nikiangalia mwanzo nikapata uvivu
 
Back
Top Bottom