Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Una weekend nzuri mno,hwarang ipo vizuri
Omo omo omo...
Ndio nimeimaliza What’s wrong with Secretary Kim. Ni drama nzuri sana,sana.
Hapa ndio naona faida ya ule msimamo wangu wa kutokuangalia ongoing drama maana kwa jinsi nilivyoipenda ningepata wazimu wa kusubiri.
Ep 10 ndio the best kwangu, nilicheka zaidi ya mwendawazimu! Nimempenda sana Ms. Bong Se Ra na yule Mr. Hero wake hahaaaaa
Yule bonge nae ana vituko jamani!
Sasa ndio naianza Hwarang...
 
Hii niielewa hivyo hivyo kibishi kibishi. Ukifatilia sana vikorea unajikuta unaanza zielewa movie zisizoeleweka kirahisi na ukazipenda
Mimi nilifuatilia film ya kikorea inaitwa Are you human, niliipenda sana ngoja nitajitahidi kutafuta za hao wakorea, pia kuna moja inaitwa Korean Odyssey sijawahi kuielewa mwenye kuielewa anijulishe, maana nikiangalia mwanzo nikapata uvivu
 
Zipo nzuri,ukizipata full burudani. Hebu hizi descendants of the sun,illjmae,gu family book,kings face,hwarang,city hunter,encounter ,the heirs,high school love, am not a robot duh zipo nying mno nzuri nzuri.
Kuna rafiki yangu aliniambia wakorea wana film nzuri sana zenye kutumia akili, nilianza na hiyo moja hapo juu ilikua nzuri sana, hiyo ni baada ya kuona zile za the great queen of seondiek
 
Achana na vibanda mtaani mkuu vuta kupitia dramanice au idownload application ya dramania kupitia google ujipatie movies zako safi kabisa ambazo hazijatafsiriwa.

Zipo tofauti kimaudhui ila zote zinahusu robot. Am not a robot ni mdada wakati are u human ni mkaka
Zinapatikana kwenye hivi vibanda mitaani ngoja nitazitafuta, am not a robot na Are you human haziko sawa kimaudhui?
 
Achana na vibanda mtaani mkuu vuta kupitia dramanice au idownload application ya dramania kupitia google ujipatie movies zako safi kabisa ambazo hazijatafsiriwa.
Zipo tofauti kimaudhui ila zote zinahusu robot. Am not a robot ni mdada wakati are u human ni mkaka

Shida bibie lugha ya malkia haipandi, asante sana kwa kunijulisha namna ya kuzipata niitaingia kwenye hiyo app
 
makambako: based on article 26, Paragraph 1 of the government organization Act, you have been entrusted with all the authority and duties of the president of the republic of Kolomijeee.
daemusin bin koroshow: unasemaje wewe bwege?

makambako and nepi ya mtoto: from now on, wewe bwege uliyezoea kufundisha darasani pamoja na kuendesha matrekta ya ujenzi wa visima vya barabarani utakuwa ni raisi wa mpito wa nchi ya kolomijee kwa takribani siku 60 na kuanzia muda huu ndio rasmi utawala ndio una anza,
Acting president daemusin bin goodwill bin plastic bin makinikiyya bin vipigo kwa mashangazi zenu bin dela chatto mbugani.

kwenye siasa hutakiwa kuwa mkweli uliyevuka mipaka kama manabii wa ukweli, hutakiwi kuwa na uoga wa kuchafua mikono yako haijalishi kwa takataka za damu za wasiokuwa na hatia.

ili udumu kwenye ulimwengu wa siasa kwa muda mrefu unapaswa uwe ni integrity.
usione aibu kuwasambaratisha waliokupa tonge ili wapate kupunguza hashuo la kiume ......................
usione aibu kuwaweka karibu maadui zako kutoka upinzani ili uwalishe wapate kukulinda milele ..................................

go go go mr president daemusin, endelea kuwabatiza kwa moto wa sulphuric acid mpaka wafanye reaction ya kutengeneza mafuta ya korosho.
maisha ya ikulu rahaaaaaaa hutafunwi na mbu pamoja na kaka kunguni

designated survivor 60 days drama : remake ya series ya kimarekani
ni mimi pekee ndiye mwenye kiherehere cha kuifuatilia hii best drama kwa kila jumatatu na jumanne?
1563890764284.png
 
Mimi nilifuatilia film ya kikorea inaitwa Are you human, niliipenda sana ngoja nitajitahidi kutafuta za hao wakorea, pia kuna moja inaitwa Korean Odyssey sijawahi kuielewa mwenye kuielewa anijulishe, maana nikiangalia mwanzo nikapata uvivu
Korean Odyssey a.k.a hwayugi
dah umenikumbusha vichwa vibovu

president ng'ombe
zombie booja
crown princess pweza
crown prince monkey (kima)
secretary mbwa
P.K nguruwe
 
makambako: based on article 26, Paragraph 1 of the government organization Act, you have been entrusted with all the authority and duties of the president of the republic of Kolomijeee.
daemusin bin koroshow: unasemaje wewe bwege?

makambako and nepi ya mtoto: from now on, wewe bwege uliyezoea kufundisha darasani pamoja na kuendesha matrekta ya ujenzi wa visima vya barabarani utakuwa ni raisi wa mpito wa nchi ya kolomijee kwa takribani siku 60 na kuanzia muda huu ndio rasmi utawala ndio una anza,
Acting president daemusin bin goodwill bin plastic bin makinikiyya bin vipigo kwa mashangazi zenu bin dela chatto mbugani.

kwenye siasa hutakiwa kuwa mkweli uliyevuka mipaka kama manabii wa ukweli, hutakiwi kuwa na uoga wa kuchafua mikono yako haijalishi kwa takataka za damu za wasiokuwa na hatia.

ili udumu kwenye ulimwengu wa siasa kwa muda mrefu unapaswa uwe ni integrity.
usione aibu kuwasambaratisha waliokupa tonge ili wapate kupunguza hashuo la kiume ......................
usione aibu kuwaweka karibu maadui zako kutoka upinzani ili uwalishe wapate kukulinda milele ..................................

go go go mr president daemusin, endelea kuwabatiza kwa moto wa sulphuric acid mpaka wafanye reaction ya kutengeneza mafuta ya korosho.
maisha ya ikulu rahaaaaaaa hutafunwi na mbu pamoja na kaka kunguni

designated survivor 60 days drama : remake ya series ya kimarekani
ni mimi pekee ndiye mwenye kiherehere cha kuifuatilia hii best drama kwa kila jumatatu na jumanne?
View attachment 1160518
Nilianza Kuangalia Nikaisha Dakika Ya Kumi Episode 1 Baada Ya Lile Jengo Kulipuka Nauyo Pichan Akawa Anakimbia Nikabdadili Channel Apo Apo..
 
Nilianza Kuangalia Nikaisha Dakika Ya Kumi Episode 1 Baada Ya Lile Jengo Kulipuka Nauyo Pichan Akawa Anakimbia Nikabdadili Channel Apo Apo..
oh my god umejikosesha uhondo wa bure my friend.
lile jengo lililoripuka ni bunge la dodomoo na ndani alikuwemo muheshimiwa raisi anahutubia pamoja na viongozi wengine.

huyo jamaa alikuwa ni waziri wa mazingira amechukuliuwa chuo kikuu akiwa na nyadhifa ya professor (hana uzoefu wa siasa za kiutawala) kama bwana wa kwetu.

huyo bwege alifanya majanga fulani kwenye mkutano wa kimazingira uliowakutanisha viongozi wa korea na viongozi wa marekani, hatimaye akavuliwa nyadhifa ya uwaziri wa mazingira lakini kabla ya taarifa rasmi ya kimaamuzi kutoka muheshimiwa raisi (saini ya kuvuliwa nyadhifa) ndio hivyo tena raisi akapoteza maisha bungeni pamoja na viongozi wengineo ambao walitakiwa warithi nafasi yake kama vile waziri mkuu na mawaziri wengineo.

jamaa akapata bahati ya kuwa raisi wa muda kwa siku 60.
je walioripuwa bunge ni nani?
balaa ndio lipo hapo kwa sasa, wengine wanawashutumu korea kaskazini na msuguano umekuwa mkubwa sana kati ya pande mbili.

vile vile kitengo cha usalama NIS wameanza kunusa harufu ya uasi kwa baadhi ya viongozi,mfano kuna kiongozi fulani kijana amejijengea umaarufu mkubwa sana baada ya kuokoka kwenye tukio hilo,
teknolojia haijawahi kumuacha salama mjinga mjinga huyo kiongozi sekunde chache kabla ya tukio la kurupuka kwa bunge aliondoka ukumbi mkuu na kwenda sehemu ambayo bomu halikuleta madhara makubwa sana.

swali linabaki ameondoka ukumbini kwa sababu gani?
mwenye amejitetea amepigiwa simu na kamanda wa jeshi ndio maana akaondoka ukumbini.

humo ndani ina mafunzo mengi sana ya kiutawala, kwa mfano jinsi gani kiongozi asiyekuwa na ushawishi wowote anajitengenezea nguvu zake za kukaa madarakani ili atawale kwa uhuru.

kwa ufupi ni drama nzuri sana kwa mtazamo wangu dhaifu​
 
Song Joong Ki And Song Hye Kyo Become Legally Divorced Without Alimony Or Division Of Property

Shortly after the completion of the arbitration, Song Hye Kyo’s agency UAA released an official statement on the actress’s divorce.

Below is the full statement:

Hello. This is UAA.
Actress Song Hye Kyo’s divorce was finalized today (July 22) at the Seoul Family Court. We inform you that the arbitration procedure was completed with both sides agreeing on a divorce without alimony or division of property.
Original Article:

On July 22 at 10 a.m., Song Hye Kyo and Song Joong Ki’s divorce arbitration was held privately at the Seoul Family Court. The two actors have reached an agreement and are now legally divorced.

A source from the Seoul Family Court stated, “We cannot share the specific details of the arbitration.”

It was announced on June 27 that Song Joong Ki had filed for a divorce from his wife Song Hye Kyo after a year and a half of marriage.

mwenye shida ya mume akachukue
mwenye shida ya mke akachukue
1563894468040.png
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom